GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Lisu na difficult character pamoja na mawakili wake kumuonya kuwa asipende kuzua mambo yanayoweza kuleta sintofahamu kwenye kesi yake hasikii

Ni heri walijitoa na kumuacha ajitetee mwenyewe.Sasa hii sentensi ya kusema nikitoka ni mchakamchaka barabarani mara oooh hawatuwezi vilikuwa na umuhimu gani kubwata mahakamani?

Anyway washabiki wengi wa Lisu hata humu kwenye uzi ukisoma comment zao unao wazi kabisa hawana hekima wala akili kichwani kama Lisu mwenyewe
Mental case ile

Lakini namuelewa…. Trauma ya kupigwa risasi zote zile anaijua tete pekee

Ni domokaya proMax
 
Anatafuta kesi nyingine kabla hata hizi hazijaisha, barabarani anaenda kufanya nini ?
Mawakili wake walijitahidi sana kumuonya asitafute kesi zingine lakini wala hadikii.Ndio maana hilo kesi wamemtelekezea mwenyewe ajitetee mwenyewe
Kuwa wakili wa Lisu ni kupoteza muda heri uende zako shamba kulima kuliko kutetea kichwa ngumu kama Lisu

Lisu haivi na yeyote.Anajiona yeye tu ndie mwenyewe. Mawakili wake watafute shughuli zingine za kufanya kama hazipo.kazi za kisheria wakafuge kuku
 
Back
Top Bottom