GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

GE2025 Lissu: Nikitoka (gerezani) ni mchakamchaka, nikitoka ni barabarani

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe uliyefanikiwa bila ya kusujudu huna ulilofanyia taifa kupitia taaluma yako. Ccm wote hamna uwezo wa kushindana nae. Vunjeni tu katiba na sheria za nchi kwa sababu mna bunduki ipo siku bunduki haitawasaidia lolote. Mnaweza mkamkandamiza kwa kumnyima haki yake ila haki haipotei itacherewa tu. Mtamwachia. Unajua kama kuna mtu kwenye jimbo la mchengerema amekataliwa kupewa fomu ya kuwania kuteuliwa ubunge?
CCM wote hawana uwezo wa kupambana nae? Unaota. Kwanini yupo ndani?
 
Lissu awe na huruma.Mama atalia sana.Mola turehemu.
NB;Efefyuu wajiandae kuua watu.
"...Efefyuu wajiandae kuua watu"?
Hapana.
Hata mimi huko siku za nyuma kidogo nilikuwa na hofu hiyo; lakini hali imebadilika haraka sana bila kutegemea.

Genge na Samia Suluhu Hassan akili imeanza kuwaingia kichwani sasa, kwamba hakuna namna ya kuwazuia waTanzania kutafuta uhuru wao, hata iwe kwa vitisho vya kuua, au kuuwa kabisa!

Umesikia hivi karibuni kuna mtu ametekwa/otezwa?
Kile kisauti cha Samia mwenyewe hukukisikia juzi juzi kikiwabembeleza (kwa hadaa) wasifanye mambo hayo?

Hali imebadilika sana kila sehemu; hata ndani ya CCM kwenyewe kumekuwepo na visauti huko kukataa chama chao kutekwa na GENGE la Samia na Kikwete.
 
Back
Top Bottom