Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,718
- 3,295
Wasukuma ninawakubali japo sometimes wabishi sanaš¤£Sawa sawa
Wasukuma ninawakubali japo sometimes wabishi sanaš¤£Sawa sawa
Ndio utamaduni wetu kiongoziWasukuma ninawakubali japo sometimes wabishi sanaš¤£
Amani mkuuNdio utamaduni wetu kiongozi
Tena ana risasi ya akiba mwilini mwake ambayo Mungu akiamuru inaweza likalipuka mkiwa wote, kikikikiššš
Sasa mtu kama Alishapigwa risasi na Bado hakuna and still haogopi do you think utamfanyia Jambo Gani lingine la kumfanya akuogope ,
Haihitaji rocket science kuweza kutambua kwamba huyo mtu hakuna kitu Cha kumrudisha nyuma labda afe '
Samia hawezi ogopa wapiga keleleLissu awe na huruma.Mama atalia sana.Mola turehemu.
NB;Efefyuu wajiandae kuua watu.
Kijana mamboššš
Sasa mtu kama Alishapigwa risasi na Bado hakuna and still haogopi do you think utamfanyia Jambo Gani lingine la kumfanya akuogope ,
Haihitaji rocket science kuweza kutambua kwamba huyo mtu hakuna kitu Cha kumrudisha nyuma labda afe '
Hapa tujiandae Sasa Kwa Kivumbi na Jasho.Baada ya kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuahirishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam, kiongozi huyo amesema, akitoka itakuwa ni mchakamchaka tu.
View attachment 3390221
Ndiyo matumaini pekee mliyo baki nayo; lakini hata hayo hamjui uhakika wake ulipo!Anatokaje?? Bado hajajifunza njia nzuri ya kutumia mdomo wake!! Akitoka kabla ya Novemba, Niko pale niite jina lolote
Huna ulijualo na huna ukijuacho!Huo mchakamchaka anaufanyaje na chama chake kimezuiliwa na mahakama kwa Sasa kufanya shughuli za kisiasa...na vilevile chama chake hakitashiriki uchaguzi,,mwisho wa siku kura watapigiwa wale walioshiriki uchaguzi.
Huko ndiko kupambana au mnatumia nguvu za dola?CCM wote hawana uwezo wa kupambana nae? Unaota. Kwanini yupo ndani?
Hapo utakapoamua mwenyewe. SAWA!Ni lini sasa atatoka? Mengine yawekeni moyoni
sio wa kawaida. Yupo Tanganyika kwa kusudi maalum la ki-Mungu. Muda utathibitisha soonDah huyu jamaa ana ujasiri wa ajabu sana,
AnatishaHuyu mtu anaogopesha,ukiwa na akili ndogo lazima upaniki!š
Muache aendelee kunyea ndooNdio njia mnayoitumia hiyo ili mfanye ujinga wenu, maana yake hamwezi kushindana nae bila ya figisu kama hizo.
Je ya mama yako ina kopo au kigunzi?Kumamamamammakoo
Acha unajimu, jipangeni 2030. Hii Tundu alikosea big time. Aweza kuwa mzuri kwenye kunukuu vifungu vya sheria lakini hana karama ya uongozi.Ndiyo matumaini pekee mliyo baki nayo; lakini hata hayo hamjui uhakika wake ulipo!
Naanda jina.
Takwimu mara nyingi zinahusisha mambo mengi ya 'projections'; lakini naona huko hukuweza kupamudu.
Cha kusikitisha ni kwamba bado unaamini kabisa katika "huruma ya mama" ndiyo inayoendelea kutumika hapa!
Mambo yanakwenda mbio kuliko uwezo wako wa kuyaelewa?