Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Kama mtu huyu ni bure kwa nini marehemu baba yenu alihangaika na uhai wake?

Mtu bure unamwacha afanye ubure wake...why not that way?
 
Hakuna mwana CCM anayeweza kujibu hoja za Lissu...instead wanabakia ni msaliti msaliti..

Kwa hiyo kutokuwa msaliti ni kutii kila jambo linaloanzishwa na CCM siyo!!
 
Nchi yoyote isiyoheshimu haki za binadamu,sheria ni halali kunyimwa misaada na kuwekewa vikwazo vikali.
 
Kama ni kwenye masuala ya ubest student basi bado Hajafikia rekodi Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi aliyoacha hapo kwenye kitivo cha sheria🤣🤸🐒
 
Kama ni kwenye masuala ya ubest student basi bado Hajafikia rekodi Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi aliyoacha hapo kwenye kitivo cha sheria🤣🤸🐒
Sawa andaa thread uiweke tutajadili na ku appreciate Uwezo wake kwa Sasa tuache Tundu Lissu atamalaki.
 
Mwalim mjinga huyu
 
Alibatizwa mwaka gani? Sifa za kisiasa zimekwisha sasa anaanza kukumbuka maisha ya chuo. Baadaye atasema shule ya msingi alikuwa mpiga kengele na baadaye akawa kilanja. Sekondari akawa kilanja wa chakula.
 
Thanks gwiji
 
Lissu ana aksi ubest kwenye maisha na maneno yake. He deserved that.
 
Wewe funza wa ccm, hakuna mtu amesaidia watu wengi kwa kuwapa msaada wa kisheria bure zaidi ya Lissu.
Walimu mnachojua ni kuiba kura kwa ajili ya ccm, mlaaniwe na mtesekee chaki miaka yote.
 
Nasubili waliosoma na Tundu Lisu walete ushuhuda, Nipo pembeni na popcorn zangu.
Kidato cha 6 alihtimu waka 1990

1991 alivotaka kujiunga chuo akina mbatia walikuwa wamewasha moto chuo kikafungwa mwaka mzima

Akaenda kufundisha Mtwara girls kasoma makinda Ana spika mstaafu

1992 alijiunga mwaka wa kwanza balaa Lake alilofanya nkurumah hall akiwa ndo kaingia kusikiliza mjadala alipindua meza maprofesa walibaki mdomo wazo

Toka pale alihtimu ajira wakambania a kaingia kitaaa

2000 mkapa akatuma watu wamfungulie kesi ya uhaini walichokumbana nacho mahakamani siriyao akiwa anapambana kutete wizi wa madini huko North mara nyamongo huko

anamengi kweli kweli yote hiyo ni uwezo wake wakuchambua mambo yaan maswala
 
Mkuu funguka plz plz
 
Alibatizwa mwaka gani? Sifa za kisiasa zimekwisha sasa anaanza kukumbuka maisha ya chuo. Baadaye atasema shule ya msingi alikuwa mpiga kengele na baadaye akawa kilanja. Sekondari akawa kilanja wa chakula.
Achaga ufaller basi?
Kwani ukiwa siasani huruhusiwi kuongelea historia?
Ccm nzima hakuna kama Lissu
 
Na appreciate uwezo wa Samia Hassan kwenye kuwabebsha watz mzigo mkubwa wa tozo zisizo na kichwa wala miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…