Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 19,687
- 23,689
Wapi ulisikia kondoo anataka awe mbuzi?Tatizo la lissu kakataa kuwa kondoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi ulisikia kondoo anataka awe mbuzi?Tatizo la lissu kakataa kuwa kondoo
Hivi huko kwenye Saccos hakuna mwenye pHD? Kila siku mnalia na pHD ya kiboko yenu.Yule wa PhD ya maganda ya korosho alisaidia vp Taifa zaidi ya kuliingiza shimoni
Nchi yoyote isiyoheshimu haki za binadamu,sheria ni halali kunyimwa misaada na kuwekewa vikwazo vikali.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
#BringBenSaa8BackHivi huko kwenye Saccos hakuna mwenye pHD? Kila siku mnalia na pHD ya kiboko yenu.
Sawa andaa thread uiweke tutajadili na ku appreciate Uwezo wake kwa Sasa tuache Tundu Lissu atamalaki.Kama ni kwenye masuala ya ubest student basi bado Hajafikia rekodi Profesa Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi aliyoacha hapo kwenye kitivo cha sheria🤣🤸🐒
Mwalim mjinga huyuSasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Alibatizwa mwaka gani? Sifa za kisiasa zimekwisha sasa anaanza kukumbuka maisha ya chuo. Baadaye atasema shule ya msingi alikuwa mpiga kengele na baadaye akawa kilanja. Sekondari akawa kilanja wa chakula.Akihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Zipa tundu lako chafu we mbwakoko nani ajipendekeze kwa msengxxxe kama wewe?Nani kasema ni genious wewe kilaza unayetanguliza kujipendekeza.
Thanks gwijiLisu kiboko mapungufu sehemu ya mwanadamu
Lisu ndiye aliyetoa hoja yakupinga sheria iliyokua inazuia wanafunzi mwaka wa kwanza kuhusika kujadili mijadala mbali bali nkrumah Hall ila kua wasikilizaji mwaka 1992
Kumbuka hata akina samweli sita waliburuzwa Wakiwa mwaka wa kwanza lakini NGULI huyu alikataa kuhusika kwenye uburuzwaji
Baada ya kutoa hoja nakusikilizwa maprofesa ilibidi waone haya na kukubali kwamba kweli walikuwa wanafanya makosa kuzuia wanafunzi mwaka wa kwanza kujadili mijadala na kua wasikilizaji
Toka hapo nyinyi wote mliopitia hicho chuo hapo kutoka 1993 hadileo ukiona unatoa na kuchangia mijadala mwanafunzi mwaka wa kwanza tambua hayo nimatunda ya Lisu antpass
Jingine kwa faida yako
Lisu toka alivopata ufahamu tu akiwa darasa la tatu hajawahi wahi shule namba hadi anahitimu la saba (Ly),na kila alipokutana mkono wa mwalimu alijitetea hajawahi pigwa fimbo
Jiulize walimu wa miaka hiyo shule ya msingi!!!
Kwaleo hayo
Mchomoaji betri kitambo
Mwl wa wapi anayetufundisha wanetu huyu mwenda wa zimu, hujui mchango walisu katika taifa hiliMwalim mjinga huyu
Lissu ana aksi ubest kwenye maisha na maneno yake. He deserved that.Best student siyo wa kukubaliana na kura za kwenye mabegi. Ukiwa best student halafu ukasimama upande wa udhalimu, u best student wako unakuwa hauna maana. Nyerere alikuwa na choice ya kuendelea kufundisha Pugu na kupata mshahara kwa ajili ya familia yake lakini Mwalimu alijiuzuru na kwenda kudai uhuru wa Tanganyika. Hivyo hivyo Mandela kwenye sheria kule South Africa. Lissu yuko kundi hilo. Hayuko katika kundi lenu la kuchumia tumbo.
Wewe funza wa ccm, hakuna mtu amesaidia watu wengi kwa kuwapa msaada wa kisheria bure zaidi ya Lissu.Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu. Na ni very selfish huyu jamaa!!!
Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Kidato cha 6 alihtimu waka 1990Nasubili waliosoma na Tundu Lisu walete ushuhuda, Nipo pembeni na popcorn zangu.
Mkuu funguka plz plzKidato cha 6 alihtimu waka 1990
1991 alivotaka kujiunga chuo akina mbatia walikuwa wamewasha moto chuo kikafungwa mwaka mzima
Akaenda kufundisha Mtwara girls kasoma makinda Ana spika mstaafu
1992 alijiunga mwaka wa kwanza balaa Lake alilofanya nkurumah hall akiwa ndo kaingia kusikiliza mjadala alipindua meza maprofesa walibaki mdomo wazo
Toka pale alihtimu ajira wakambania a kaingia kitaaa
2000 mkapa akatuma watu wamfungulie kesi ya uhaini walichokumbana nacho mahakamani siriyao akiwa anapambana kutete wizi wa madini huko North mara nyamongo huko
anamengi kweli kweli yote hiyo ni uwezo wake wakuchambua mambo yaan maswala
Achaga ufaller basi?Alibatizwa mwaka gani? Sifa za kisiasa zimekwisha sasa anaanza kukumbuka maisha ya chuo. Baadaye atasema shule ya msingi alikuwa mpiga kengele na baadaye akawa kilanja. Sekondari akawa kilanja wa chakula.
Na appreciate uwezo wa Samia Hassan kwenye kuwabebsha watz mzigo mkubwa wa tozo zisizo na kichwa wala miguuAkihojiwa na Sarah Wambui Mwangi akiwa Nairobi Tundu Lissu alisema kabla ya kuangukia kwenye siasa alitamani sana kuwa PROFESA wa Sheria ili arudi kufundisha UDSM. Ufinyu wa bajeti uliokuwepo Chuo wakati huo wakati huo haukuwezesha ajira yake kufanikiwa na hivyo akaingia kitaa kutafuta ajira.
Katika maelezo yake Tundu Lissu anasema alikuwa best student pale chuo kikuu katika mwaka wao kwa maana ya kuwa alipaata ufaulu wa juu zaidi kuliko wanafunzi wote wa kitivo cha Sheria.
Akili na Uwezo wa mwanasiasa na wakili huyu nguli unafanya aonekane genious, kumbe una support ya historia yake ya kitaaluma.
Leo naomba tupate ushuhuda kwa waliosoma na Tundu Lissu Uwezo wake na akiwa darasani na kwenye mijadala mbalimbali tangu akiiwa primary, secondary hata chuo kikuu.
Tu appreciate Uwezo wa watu wengine wanaoonekana kufanya vizuri katika maeneo mbalimbali.
Maendeleo hayana CHAMA.
Nilikuwa sijakuelewa, ilibidi niingie chimbo nijue umebeba nini kichwani, asante nimeelewa unachomaanisha[emoji106]Na appreciate uwezo wa Samia Hassan kwenye kuwabebsha watz mzigo mkubwa wa tozo zisizo na kichwa wala miguu