Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Lissu: Nilikuwa best student faculty of law na nilitamani kuwa Profesa ili nifundishe Sheria

Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!

Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
1) Lissu enzi za utawala wa Mkapa, aliwatoa magerezani kule Tarime, watu zaidi ya 400, waliokuwa wamebambikiziwa kesi na serikali ya ccm kwa kushirikiana na makampuni ya "mabeberu" ya kuchimba dhahabu. Wengine hadi kesi za mauaji. Lissu alitoa huduma hii bure bilashi. Ndio maana, kwa kutambua hili, polisi walijaribu sana kumzuia Tundu Lissu asipite maeneo hayo wakati wa kampeni za 2020, japo hawakufaulu. Walijua angepata mapokezi ya kifalme.

2) Wakati wa bunge la Spika Anne Makinda, Tundu Lissu, akitumia uwezo wake mkubwa katika mambo ya sheria, alitia mchango mkubwa sana bungeni, ikabidi kiti cha spika mara kwa mara kutafuta ushauri wa kisheria kwa Tundu Lissu, baada ya mwanasheria mkuu wa Serikali wakati huo kuonekana kupwaya sana. Kila mara, nguli mwingine wa sheria, japo ni fisadi mkubwa, Andrew Chenge, kuthibitisha kwamba "Lissu yuko sahihi"

3) Lissu anatoa mchango mkubwa kwa kutoa Darsa katika nyanja za sheria na siasa, kupitia Cyber Lounge kila ijumaa na mahojiano ya one on one with Tundu Lissu, kupitia Pod Cast za NADJ MEDIA.

4) Katika migodi ya Nzega, Tundu Lissu pia alitoa huduma za kisheria bure kwa wachimbaji wadogo. Hilo alithibitisha mh. Bashe, na altoa shukrani rasmi bungeni kwa Tundu Lissu, kwa kuwasaidia wapiga kura wake Bashe.
Kwa hiyo nakushauri usitiwe upofu na chuki binafsi, wivu, mawazo finyu kutokana na kushiba propaganda za maadui wa Lissu
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!

Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Siyo rahisi kumwelewa lisu.
 
Kwahiyo kama CCM ikipokea fisadi na nyie upinzani mnafanya hivyo hivyo. Sasa kuna faida gani ya kuchagua chama kingine mbadala wa CCM ikiwa vyama hivyo finafanana kila kitu na CCM?
Huwezi kulazimisha WaTz wote wawe Ccm . Haikutokea na haitatokea

Siasa ya nani anahamia wapi ibaki kuwa hiyari ya mtu . Na isiwe dhambi . Vyama vyote ni vya WaTz . Na kama ni UZALENDO basi huko Ccm ndiyo zero . Wameliingiza taifa hili kwenye mikataba ya hovyo na wala si wapinzani !!
 
Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana.
Kazi ya mbunge inaonekana bungeni. Ili kumtendea Nenda kaangalie hansard za bunge.
Maendeleo ni jukumu la Serikali.
Bongo ukiwa mpinzani Jimbo lako halipewi kipaumbele kupata maendeleo.
Unakumbukakipindi chakampeni watu walikuwaanaambiwaje kuhusu kuchagua wapinzani?
 
Utafitibule wa TWAWEZA kuwa CCM inapendwa na kuungwa mkoji zaidi na watu wenye elimu na uwezo mdogo wa akili, ni dhahiri.

Hata ukiangalia hapa jukwaani, fuatilia hoja za wapambe wa CCM, kwa kiasi kikubwa inaashiria low IQ.

Nami niweke wazi hapa - hapa nyumbani nilimaliza nikiwa second best science student. Na kwenye shahada ya pili, kule America ya Kaskazini, nilikuwa best student.
Kunaa mambo ukiyatafakari nchi unaoñam tumeootea na tunshitaji kuanza upya. Akili kubwa zinapuuzwa Sana.
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!

Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Kumbukumbu ni kitu kizuri saana.Ukiwa kama Mwalimu nakushauri ungetumia supplements zenye uwezo wa ku boost up memory.
The guy is bright wether U like or not.
Kumbuka alivyo watetea wale watu migodini.
 
Nikikudharau Uwezo wa Akili Yako nitakuwa sijatenda Dhambi. Pole sana
Lisu akili kubwa Kwa lipiii?! Amekua Mbunge miaka karibia 10
Pita wilaya Ikungi uone wanavyonuka umaskini? Eti profesa my foot.
Lisu Hana chochote aache kudanganya watu hapa. Jinga sana
 
Huyu dogo lopo lopo sana.Kupanga ni kuchagua
Learn to appreciate others. Unawezaje kupuuza Uwezo wa Lissu.
Kila mtu kwa maana ya binadamu ana mapungufu yake (pamoja na wewe,. Comment yako Ina dhihirisha una chuki, Ni mpungufu yako, ni dhambi pia) japo simaanishi kukubaliana na wewe kuhusu huo ulopolopo.
 
hayo hayatusaidii na hayana maana yoyote. Alitakiwa awe hapa akipigania katika mpya lakin saiv kabaki anabwabwaja visivoeleweka huko kwa wazungu. Ujiniasi wake uko wap.
Unakumbuka nini kilimtokea hadi ikapelekea kuwa nje?
 
Best students wote walibakia kuwa Assistant Lectures pale Mlimani
Kama hakubakizwa Ni wazi hakuwa na sifa stahiki hivyo asidanganye Kuhusu ukosefu was bajeti kwani bajeti ya kuwasomesha haijwahi kuwa tatizo

Unakuwa Professor baada ya KUPITIA mchakato wa kitaaluma kuanzia Asst Lecture, Lecturer, Senior Lecturer, Associate Professor & Professor

Mchakato huo una vigezo vya kitaaluma na muda maalumu ili upande kutoka ngazi moja kwenda nyinginezo
Alisema katika mwaka wao alitamani awe assistant lecturer Ila chuo hakikuwa nafedha za kuwalipa hivyo huo utaratibu ulisimama kwa muda ndio akapata cholarship nje ya nchi na aliporudi pi hakupata nfasi kwa sababu ziezile ndio maana akabadili muelekeo.
 
Yan ni kweli jamaa ana akili sana ndugu yang. Si unaona wanavyotafuna hela za chama na mwenyekiti, huku wakiwadanganya nyumbu wao kwamb wanatafuta hela za kujenga ofisi kuu ya chama!!

View attachment 1901403
Huu sasa uzushi. Yaani mtu akipata kinywaji tu ndio kafuja hela? Hivi hujui kwamba mafisadi orijino hawanywi hata pombe?
 
Wapi Mimi nilileta mada ya kulogwa humu jukwaani mkuu? Hebu pitia profile yangu ulete hapa hiyo mada, by the way lissu Ni mpuuzi mkubwa Sana hapaswi kuchekewa,Ni hatari kwa msitakabali wa taifa letu.
Hizi Ni fikra za kiwango cha chini zilizojaengwa na chuki. Pole
 
Best student asiye na manufaa yoyote kwa taifa lake
Tatizo lenu mnafikiri kila mtu ni mbinafsi na mnafiki kama wanaccm. Kama mtu hajaimba mapambio basi hana faida kwa taifa. Lissu ni mtetezi wa wanyonge, tena bila kudai tozo. Waulize Nyamongo Tarime, Nzega, hao wanajua Lissu kafanya nini kwao na kwa taifa.
Darsa anazotoa kuhusu masuala ya kisheria na kisiasa, kuamsha watu watambue haki zao, ni msaada mkubwa kwa wengi.
 
Siasa pembeni, akaunti ya YouTube ya Nadj Media center kuna mjadala wa uchumi ukitazama miradi mikakati unaoendeshwa na Tundu Lissu, akiongea Zitto Kabwe na Dr Kahyoza. Pamoja na kuwa Lissu si mchumi, uelewa na ufuatiliaji wake wa mjadala ni impressive.
 
Kwa kifupi ni kwamba kwa sasa inabidi tutafute mtu anayeweza kum-replace,
Mr tundu lissu kwenye u wanda na nyanja ya kisheria Tz.
Sijawai kuona mtu tanzania anayeweza kulinganishwa na kichwa cha huyu jamaa ingaweje hana Dr.

Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
 
Tatizo lenu mnafikiri kila mtu ni mbinafsi na mnafiki kama wanaccm. Kama mtu hajaimba mapambio basi hana faida kwa taifa. Lissu ni mtetezi wa wanyonge, tena bila kudai tozo. Waulize Nyamongo Tarime, Nzega, hao wanajua Lissu kafanya nini kwao na kwa taifa.
Darsa anazotoa kuhusu masuala ya kisheria na kisiasa, kuamsha watu watambue haki zao, ni msaada mkubwa kwa wengi.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sasa hiyo ya kuwa best student katika kitivo chake inalisaidiaje taifa letu tofauti na kufanya uhuni wa siasa huko ughaibuni akishinikiza tukatiwe misaada,Bure kabisa huyu mtu.Na ni very selfish huyu jamaa!!!

Bora hata Mimi na ualimu wangu huu nasaidia taifa langu kwa kuwapa vijana elimu,Mpaka sasa nina vijana zaidi ya laki tano waliopita mikononi mwangu,huyu bwana kafanya lipi kwa watanzania ambalo kwalo twaweza mkumbuka
Misaada ya nini? Hatuhitaji misaada hii nchi ni tajiri Sana!
Tuchape kazi tusitegemee misaada.
 
Back
Top Bottom