Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Tumefanya kampeini miaka mitano kumbuka...Hivi kuna aja gani ya kutumia wasanii na bilioni 17 kupiga kampeini wakati tumefanya mengi mfano SGR,JNHPP,ELIMU BURE ...nk hizo pesa tuwapeni vijana wasio na ajira kama mitaji.
kwenye kampeni ni kazi na bata mkuu baada ya kazi nzito ya miaka mitano
 
Hata EL 2015 alituambia hotuba ipo kwenye tovuti tukasome huko siku ya ufunguzi. Huyu nae kakataa kusoma hotuba yake leo siku ya ufunguzi. Kunani CDM na ufunguzi wa kampeni? Kwa nn tuzindue kampeni kama manifesto haipo tayari tunataka ambia nn wananchi? Na kwa nn aliandaa hotuba yake ya 24 pgs nje ya manifesto ya CDM? Ndio mana Tanzania katiba haikubali private candidate sbb ni hii. Wananchi watadanganywa na nchi kuuzwa na mtu mmoja tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Hao waliopita bila kura ni viti maalumu ndani ya viti maalumu ambao kimsingi hawapo kwa mujibu wa katiba ya nchi.
Cha aibu sana hata mh waziri mkuu anakubali kuwa kundi ka viti maalum,
What a shame!!!
Hawa hawatatambulika kama wabunge bali genge la wabakaji wa haki na walazimishaji wa uongozikatika jamii isiyowahitaji.
Nashauri watu wa majimbo ya hawa virus wasiwatambue kama wawakilishi wao kamwe zaidi ya kuwahesabu kama wabakaji kinyume na maumbile.
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Hujasikiliza wewe ni mzushi kama wazushi wenzio wala ilani ya uchaguzi hajasema kabisa leo acha kudandia treni kwa mbele
 
Hujamsikiliza wewe, mbona kasema hotuba yenye kurasa 24 aliyoiandaa hataisoma leo?
Kwa hiyo, Ilani na ama sera za Chadema zimeandaliwa na Lissu (one man show). Ilani imo ndani ya kurasa 24 za Lissu ( mgombea urais)! Halafu mnasema mko tayari kupokea madaraka ya nchi hii...!!!

Ukweli, Mnyika kama mtendaji mkuu wa Chama ameonyesha udhaifu mkubwa sana. Leo ameabisha Chadema ingawa na Lissu mwenyewe amechangia pakubwa kuiabisha Chadema. Mbowe, ajitathmini!
 
Presidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.

Kwa hiyo Presidential material ni yule ambaye anaagiza wakurugenzi kufuta wagombea, kuwateka, kuwabambikiza kesi ili wakose vigezo n.k?
Ahahaaha,nomelipenda hili swali lako
 
Magufuri kesho anafungua kampeni na sera sisi tunasubiri atakacho sema sisi tutakua tuna mpinga tu
 
Angalau angesema tu labda akiingia madarakani atatoa bullet proof kwa kila raia,kupigwa kwake risasi ndo imekuwa sera ya kuonewa huruma ili apate urais.
Hahahaaaa dah ila wewe ujinga nimekupita kidogo. Unachekesha sana
 
Hata EL 2015 alituambia hotuba ipo kwenye tovuti tukasome huko siku ya ufunguzi. Huyu nae kakataa kusoma hotuba yake leo siku ya ufunguzi. Kunani CDM na ufunguzi wa kampeni? Kwa nn tuzindue kampeni kama manifesto haipo tayari tunataka ambia nn wananchi? Na kwa nn aliandaa hotuba yake ya 24 pgs nje ya manifesto ya CDM? Ndio mana Tanzania katiba haikubali private candidate sbb ni hii. Wananchi watadanganywa na nchi kuuzwa na mtu mmoja tu.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Tunakoenda utashangaa mtu anasema Sera atazisema akiwa ukulu
 
Hivi hakuna sheria ya substitute kama kwenye Soka?
Hii forward inapiga danadana tu
Aingie Lema. Huyu kusugua bench kumemuathiri.
Tume wekeni sheria ya substitution Chama la Wana haliwezi kufungwa tukiwa na wachezaji wa ndani Wazuri. Huyu wa Ulaya yupo kwa mkopo na majaribio
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Kuna wagumu sana wa kuelewa, na bado unasema umemsikiliza Tundu Lissu! Kama umemsikiliza hukunsikia akisema kuwa Leo hawatazungumzia hayo unayotaka na sababu akaeleza?
 
Kidogo nikutusi, ila Nilipoona ID ya mwanamke nmeamua kupoa.

Inamaana aliposema alikua kaandaa hotuba , lakn kwa kinachoendelea majimbon kaamua kutoisoma, ili ajikite na haya yanayoendelea... WEWE ULIKUA UNAMSIKILIZA KWA KUTUMIA NN???.
Visikilizio vya "ke" vipo vingi mkuu.
Kuna vya sauti, vya utamu, vya ladha, vya hisia,hivyo huwezi jua amesikilizia nini.
 
Hakuna mazingira mazuri kabisa. Miaka mitano wahitimu wa degree mbalimbali bado wanasugua benchi.
Kweli dada? Mbona sisi tuliopo nnje twaambiwa Tanzania kama Ulaya!?
Ajira milioni 6 zimetengenezwa.
Wakulima wametajirika kwa kupatiwa pembejeo kwa wakati na za kutosha kulikopelekea kuzalisha kwa wingi na kuuza kwa bei nzuri kwenye masoko yaliyotafutwa na serikali.
Maslahi ya wafanyakazi yameboreshwa ndio maana utendaji kazi na nidhamu vimeongezeka.
Mkuu Victoire ,hayo yako umeyatoa wapi?
 
Poa tu.Cha muhimu ashinde kihalali tu.
UNAZUGA ...UMEKURUPUKA LISSU ALIKUWA NA PAGE 24 UNACHOTAKA KUSIKIA WEWE ILA KUNA ISSU E ISIYO YA KAWAIDA INAENDELEA SASA HIVI YA WATU KUPITA BILA KUPINGWA LEO ILIKUWA SPECILA KUTOA MISMAMO ILA BADO UNALAUMU UKOJE WEWEEEE...KWENDA ZAKOOO KWENDAAA
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Lissu alitamka wazi kwamba hawezi kuomba kura wakati 30% ya wagombea wameenguliwa na pili alisema kwanza ndio anafungua kampeni hana budi kutoa shukrani kwa wale wote waliotia mkono kuokoa maisha yake!! Sasa ataoaje shukrani bila kueleza jinsi walivyo shiriki hao anaowapa shukrani?
 
Page 24? si ajabu imejazwa na quotation ya vifungu vya sheria.
 
Back
Top Bottom