kwenye kampeni ni kazi na bata mkuu baada ya kazi nzito ya miaka mitanoTumefanya kampeini miaka mitano kumbuka...Hivi kuna aja gani ya kutumia wasanii na bilioni 17 kupiga kampeini wakati tumefanya mengi mfano SGR,JNHPP,ELIMU BURE ...nk hizo pesa tuwapeni vijana wasio na ajira kama mitaji.
Hao waliopita bila kura ni viti maalumu ndani ya viti maalumu ambao kimsingi hawapo kwa mujibu wa katiba ya nchi.Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Hujasikiliza wewe ni mzushi kama wazushi wenzio wala ilani ya uchaguzi hajasema kabisa leo acha kudandia treni kwa mbeleLissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Mnafiki huyu alafu anakwambia amemsikiliza mwanzo mwishoMm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Kwa hiyo, Ilani na ama sera za Chadema zimeandaliwa na Lissu (one man show). Ilani imo ndani ya kurasa 24 za Lissu ( mgombea urais)! Halafu mnasema mko tayari kupokea madaraka ya nchi hii...!!!Hujamsikiliza wewe, mbona kasema hotuba yenye kurasa 24 aliyoiandaa hataisoma leo?
Kweli kakaSiku ya kwanza hii, kaa mkao wa kula sasa
OkMm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Ahahaaha,nomelipenda hili swali lakoPresidential material yupoje? Maana wabongo aisee mnafurahisha sana kwa kujifanya mnayajua material. Tangu mjue material ya kutengenezea batiki basi imekua nongwa.
Kwa hiyo Presidential material ni yule ambaye anaagiza wakurugenzi kufuta wagombea, kuwateka, kuwabambikiza kesi ili wakose vigezo n.k?
Hahahaaaa dah ila wewe ujinga nimekupita kidogo. Unachekesha sanaAngalau angesema tu labda akiingia madarakani atatoa bullet proof kwa kila raia,kupigwa kwake risasi ndo imekuwa sera ya kuonewa huruma ili apate urais.
Tunakoenda utashangaa mtu anasema Sera atazisema akiwa ukuluHata EL 2015 alituambia hotuba ipo kwenye tovuti tukasome huko siku ya ufunguzi. Huyu nae kakataa kusoma hotuba yake leo siku ya ufunguzi. Kunani CDM na ufunguzi wa kampeni? Kwa nn tuzindue kampeni kama manifesto haipo tayari tunataka ambia nn wananchi? Na kwa nn aliandaa hotuba yake ya 24 pgs nje ya manifesto ya CDM? Ndio mana Tanzania katiba haikubali private candidate sbb ni hii. Wananchi watadanganywa na nchi kuuzwa na mtu mmoja tu.
Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
Kuna wagumu sana wa kuelewa, na bado unasema umemsikiliza Tundu Lissu! Kama umemsikiliza hukunsikia akisema kuwa Leo hawatazungumzia hayo unayotaka na sababu akaeleza?Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Unajua maana ya kampeni? Hapo ni poor kampeni plans mkuu, usiwatetee.Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Visikilizio vya "ke" vipo vingi mkuu.Kidogo nikutusi, ila Nilipoona ID ya mwanamke nmeamua kupoa.
Inamaana aliposema alikua kaandaa hotuba , lakn kwa kinachoendelea majimbon kaamua kutoisoma, ili ajikite na haya yanayoendelea... WEWE ULIKUA UNAMSIKILIZA KWA KUTUMIA NN???.
Kweli dada? Mbona sisi tuliopo nnje twaambiwa Tanzania kama Ulaya!?Hakuna mazingira mazuri kabisa. Miaka mitano wahitimu wa degree mbalimbali bado wanasugua benchi.
UNAZUGA ...UMEKURUPUKA LISSU ALIKUWA NA PAGE 24 UNACHOTAKA KUSIKIA WEWE ILA KUNA ISSU E ISIYO YA KAWAIDA INAENDELEA SASA HIVI YA WATU KUPITA BILA KUPINGWA LEO ILIKUWA SPECILA KUTOA MISMAMO ILA BADO UNALAUMU UKOJE WEWEEEE...KWENDA ZAKOOO KWENDAAAPoa tu.Cha muhimu ashinde kihalali tu.
Lissu alitamka wazi kwamba hawezi kuomba kura wakati 30% ya wagombea wameenguliwa na pili alisema kwanza ndio anafungua kampeni hana budi kutoa shukrani kwa wale wote waliotia mkono kuokoa maisha yake!! Sasa ataoaje shukrani bila kueleza jinsi walivyo shiriki hao anaowapa shukrani?Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.