Akili zao hawa jamaa ni shida sanaMbona siku hizi mdogo wangu unajitoa ufahamu hivyo? Kama ulikuwapo tangu mwanzo hukusikia akieleza kwa nini hatazungumza kilichoandikwa kwenye hotuba yake ya uzinduzi? Kazi tunayo kwa kweli!! Umekuwa na akili ya ma-CCM!
Hawawezi kukuelewa kwasababu akili zao zimejikita kumshangilia mzee babaKasema hawezi kuzindua ilani wakati wagombea wote wamekatwa nani ataenda kuitetea iyo ilani kwenye vijiji kata au Majimbo by the way nimemuelewa.
Mkateni mapema kama mnao huo uwezoTundu hajawahi kuwa kiongozi ni mpingaji na mbomoaji -tumkatae mapema
Chama cha kihuni hiki sijapata kuona. Chama kina zaidi ya miaka ishirini kinashindwa kuzindua ilani ya chama kinabaki kutoa sababu zisizo na msingi wowote. Tanzania bado tuna safari ndefu sana kwa hivi vyama vya upinzani.Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Katoa sababu ya kuongea alichokiongea, hotuba aliyoiandika yenye kurasa 24 za sera bado hajaisoma.
Tusubiri na kesho tuone atasema nini..
Hapana. Mwingine akikufunika siku ya kwanza hutomshika.
.Jomba umevurugwa siku ya kwanza ndio unatakiwa ujipambanue wazi kw kila kitu..unaweka mambo hadharani siku nyingine yanakuwa marudio tu. Kwa mtaji huo hapo patupu hakuna kitu..hapo..atawahadithia tu jinsi walivyochapana risasi wenyewe kwa wenyewe .hahaha. Hajui kwamba kimlacho kinguoni kwake mulemule...
Huyu jamaa hanaga hoja zaidi ya kulalamika. Watu wenye akili na mitazamo kama yake anawavutia kweli.Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.
Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.
Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.
Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.
Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Kipenga kishapulizwa cha kuanza hoja wao wanaweka Sawa nini?. Ilani iwekwe, watuambie watatuganyia nini watanzania kama tukiwapa nafasi full stop sio kulalamika tu.Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Alishasema before kuwa anatoa msimamo / uelekeo wa chamaMm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Sent from my SM-J250F using JamiiForums mobile app
Ulumsikiliza? Alisema HAKUNA KUJITOA. Alisisitiza sana hili jambo na akasema watatumia mbiu zote kutafuta haki lakini siyo kujitoa! Hili liko wazi kwa sababu mkakati wa Magufuli ni kuwafanyia wapinzani uhuni wa aina zote ili wajitoe na vibaki vile vyama ''rafiki'' kwa CCM vipewe baadhi ya majimbo na kuhalalisha huu uchaguzi (soma uchafuzi). Anachoogopa Magufuli ni kwenda kwenye sanduku la kura akiwa na vyama vya Chadema na ACT. Anajua hakubaliki na lolote linaweza kutokea, japo maandalizi ya uchachuaji yanaendelea kama kawa. BTW sidhani kuwa umepandisha hasira kwa sababu Lissu ameomba mchango!Lakini hela za kuchangiwa kwa uchaguzi anaofanyiwa uhuni na NEC aliomba?? Kwa wananchi
Za nini ??? Je akijitoa kwenye uchaguzi atazirudisha au atazipeleka wapi ???
Keyboard warriors kwamba hutaki watu waongee their minds online sababu utawaita "keyboard warriors"?Keyboard warriors mtapata shiida sana
Magufuli ndio ataongea nini?Jana kanidisappoint sana aisee. Kweli nimeamini umdhaniaye ndiye kumbe........
Lissu kama ataendelea na stratégie ya jana basi atachemsha.Jana hajatuma hata bullet moja kwa alipofail Magufuli. Sijui CCM walikwenda kwa mtaalam 🤔.Magufuli ndio ataongea nini?
Mtu hajui hata kusoma,we will see vitu vya ajabu sana aiseee
Magufuli hauziki hata umsaidie vipi!
Hapo ndio hua sometimes nadhanigi mungu yupo,japo siamini mambo ya mungu kabisa!
Maana haiwezekani mtu anakua kwenye ground level namna hii
Lissu lazima atoe mtu ngeu aisee
I see,huu uchaguzi Magufuli ni beatable kabisa....na kimiujiza kuna blunders mtafanya na Magufuli unfortunately kura zisitoshe...
I see this coming maana ccm majinga yamekua promoted to the highest levels,wenye akili wapo suppressed!
CCM will kill itself up..self destruct!
Dhumuni la mkutano hukulijuaLissu kama ataendelea na stratégie ya jana basi atachemsha.Jana hajatuma hata bullet moja kwa alipofail Magufuli. Sijui CCM walikwenda kwa mtaalam 🤔.
Kaandamane blaza acha kujaza server........au ndo mikwara ya mbuzi tu kwenye keyboardKeyboard warriors kwamba hutaki watu waongee their minds online sababu utawaita "keyboard warriors"?
Tupo wote online,tupo kwenye equal footing,then unanipangia how to react on your comments,eti nisijibu kwa hasira sababu utaniita "keyboard warrior"?
Wote tupo online,tupo kwenye keyboards ahalafu wewe unamtania keyboard mwenzio as if wewe haupo kwenye keyboard?
Unataka nitaje details zangu,Identity yangu physically halafu ufanye nini kwa mfano?
Nikifichua my identity ndio sitakiua keyboard warrior nitakua nimeridhisha your requirement yako wewe?
Kwa maana wewe ni nani hasa dunia hii over other human beings?
Shame on you maafaka!