Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

mtu anaanzisha thread kana kawamba wengine sijui wakoje hata hakusikiliza intro kakurupuka tu
 
Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Chama cha kihuni hiki sijapata kuona. Chama kina zaidi ya miaka ishirini kinashindwa kuzindua ilani ya chama kinabaki kutoa sababu zisizo na msingi wowote. Tanzania bado tuna safari ndefu sana kwa hivi vyama vya upinzani.
 
Katoa sababu ya kuongea alichokiongea, hotuba aliyoiandika yenye kurasa 24 za sera bado hajaisoma.

Tusubiri na kesho tuone atasema nini..
Hapana. Mwingine akikufunika siku ya kwanza hutomshika.
Jomba umevurugwa siku ya kwanza ndio unatakiwa ujipambanue wazi kw kila kitu..unaweka mambo hadharani siku nyingine yanakuwa marudio tu. Kwa mtaji huo hapo patupu hakuna kitu..hapo..atawahadithia tu jinsi walivyochapana risasi wenyewe kwa wenyewe .hahaha. Hajui kwamba kimlacho kinguoni kwake mulemule...
.
 
Lissu bwana tunajua wewe ulipigwa risasi, asante Mungu umepona.

Sasa tunakuomba usitumie muda wako wa kampeini kuongelea tu yaliyokupata miaka mitatu iliyopita.

Tuambie utafanya nini endapo utakuwa Rais, tuambie kwa nini wewe na si Magufuli tena.

Binafsi leo nilitegemea kusikia madini ni nini utaifanyia Tanzania/ Watanzania ambapo Magufuli kafail.

Ninakuomba umwage sera na siyo historia ya yaliyotokea.
Huyu jamaa hanaga hoja zaidi ya kulalamika. Watu wenye akili na mitazamo kama yake anawavutia kweli.
 
Mm nafikiri hujasikia vizuri, ni kwamba Leo ilani haijazinduliwa sababu ya kuweka sawa suala la wagombea walioenguliwa
Kiswahili ni kirahisi mno
Kipenga kishapulizwa cha kuanza hoja wao wanaweka Sawa nini?. Ilani iwekwe, watuambie watatuganyia nini watanzania kama tukiwapa nafasi full stop sio kulalamika tu.
 
.
SAVE_20200829_104106.jpg
 
Lakini hela za kuchangiwa kwa uchaguzi anaofanyiwa uhuni na NEC aliomba?? Kwa wananchi
Za nini ??? Je akijitoa kwenye uchaguzi atazirudisha au atazipeleka wapi ???
Ulumsikiliza? Alisema HAKUNA KUJITOA. Alisisitiza sana hili jambo na akasema watatumia mbiu zote kutafuta haki lakini siyo kujitoa! Hili liko wazi kwa sababu mkakati wa Magufuli ni kuwafanyia wapinzani uhuni wa aina zote ili wajitoe na vibaki vile vyama ''rafiki'' kwa CCM vipewe baadhi ya majimbo na kuhalalisha huu uchaguzi (soma uchafuzi). Anachoogopa Magufuli ni kwenda kwenye sanduku la kura akiwa na vyama vya Chadema na ACT. Anajua hakubaliki na lolote linaweza kutokea, japo maandalizi ya uchachuaji yanaendelea kama kawa. BTW sidhani kuwa umepandisha hasira kwa sababu Lissu ameomba mchango!
 
Bila ilani walienda kufanya nini sasa!! Chadema wamepoteza 'focus' na hawako 'serious'kabisa. Lissu si mwanasiasa mzuri bali ni mropokaji tu, bora angemwachia Nyarandu au Msingwa.
 
Huyu jamaa hanaga hoja zaidi ya kulalamika. Watu wenye akili na mitazamo kama yake anawavutia kweli.
Jana kanidisappoint sana aisee. Kweli nimeamini umdhaniaye ndiye kumbe........
 
Keyboard warriors mtapata shiida sana
Keyboard warriors kwamba hutaki watu waongee their minds online sababu utawaita "keyboard warriors"?

Tupo wote online,tupo kwenye equal footing,then unanipangia how to react on your comments,eti nisijibu kwa hasira sababu utaniita "keyboard warrior"?

Wote tupo online,tupo kwenye keyboards ahalafu wewe unamtania keyboard mwenzio as if wewe haupo kwenye keyboard?

Unataka nitaje details zangu,Identity yangu physically halafu ufanye nini kwa mfano?

Nikifichua my identity ndio sitakiua keyboard warrior nitakua nimeridhisha your requirement yako wewe?

Kwa maana wewe ni nani hasa dunia hii over other human beings?

Shame on you maafaka!
 
Jana kanidisappoint sana aisee. Kweli nimeamini umdhaniaye ndiye kumbe........
Magufuli ndio ataongea nini?

Mtu hajui hata kusoma,we will see vitu vya ajabu sana aiseee

Magufuli hauziki hata umsaidie vipi!

Hapo ndio hua sometimes nadhanigi mungu yupo,japo siamini mambo ya mungu kabisa!

Maana haiwezekani mtu anakua kwenye ground level namna hii

Lissu lazima atoe mtu ngeu aisee

I see,huu uchaguzi Magufuli ni beatable kabisa....na kimiujiza kuna blunders mtafanya na Magufuli unfortunately kura zisitoshe...

I see this coming maana ccm majinga yamekua promoted to the highest levels,wenye akili wapo suppressed!

CCM will kill itself up..self destruct!
 
Lissu kama ataendelea na stratégie ya jana basi atachemsha.Jana hajatuma hata bullet moja kwa alipofail Magufuli. Sijui CCM walikwenda kwa mtaalam 🤔.
 
Lissu kama ataendelea na stratégie ya jana basi atachemsha.Jana hajatuma hata bullet moja kwa alipofail Magufuli. Sijui CCM walikwenda kwa mtaalam 🤔.
Dhumuni la mkutano hukulijua

Dada uchaguzi hakuna,ilitafutwa sababu ya maandamano kwa muda mrefu,na tayari ishapatikana

Kampeni ni maandamano matupu nationwide!

Hakuna kampeni,na kwa hili vyama vyote vya upinzani vimekubaliana maana ni at their best interest!

Maalim Zanzibar hasa Pemba ni Mungu,jana kaongea,na ile tone scared everybody...

Huwezi ondoa 100% ya wagombea wa Maalim Pemba wewe,ni receipt for disaster!

Wapinzani infact walitaka this to happen,and unfortunately it happened

Sababu imepatikana,na aliesababisha amejileta mwenyewe,kampeni ni inageuka ni kudai haki sio kura tena...hii fujo haishii leo

Trust me!
 
Haya makosa yanajirudia mwaka 2015 watu waliambiwa ilani iko mtandaoni inaonekana chadema wako kiuanaharakati zaidi lakini hawakujiandaa hapo ndio unaona tofauti ya dr. Slaa na chadema ya sasa yake ilikuwa inamgusa mwananchi kama kupunguza bei vifaa vya ujenzi
 
Kwa hiyo na leo Packers ni masimulizi ya risasi tu?

Maana bado wagombea wanazidi kuenguliwa badala ya kurudishwa.

Si heri kuli-solve kwanza hilo badala ya kuendelea kukusanya watu halafu mnaanza narrations za risasi.
 
Keyboard warriors kwamba hutaki watu waongee their minds online sababu utawaita "keyboard warriors"?

Tupo wote online,tupo kwenye equal footing,then unanipangia how to react on your comments,eti nisijibu kwa hasira sababu utaniita "keyboard warrior"?

Wote tupo online,tupo kwenye keyboards ahalafu wewe unamtania keyboard mwenzio as if wewe haupo kwenye keyboard?

Unataka nitaje details zangu,Identity yangu physically halafu ufanye nini kwa mfano?

Nikifichua my identity ndio sitakiua keyboard warrior nitakua nimeridhisha your requirement yako wewe?

Kwa maana wewe ni nani hasa dunia hii over other human beings?

Shame on you maafaka!
Kaandamane blaza acha kujaza server........au ndo mikwara ya mbuzi tu kwenye keyboard
 
Back
Top Bottom