Uchaguzi 2020 Lissu nimekusikiliza mwanzo mwisho ila haujasema kwanini tukuchague wewe na sio Magufuli

Kwani hujamsikia mwenyekiti akisema wanabadili ratiba kwa leo ili kuongelea mstakabali mzima wa uchaguzi na enguaengua ya wapinzani?
Huyu Victoire ni mnafiki tena mnafiki mkubwa sana, usiwahi kuthubutu hata kidogo ukamuamini.

Nimebahatika kuona makaburi yake kadhaa humu HAFAI.
 
Hawajazindua ilani ya uchaguzi kwa sababu ya kubadili ratiba ya kampeni.
 
Nimemuelewa. Binafsi nilitaka kusikia pia yeye atafanya nini ili kuweka mazingira mazuri kwa wakulima na wafanyakazi wa Tanzania ?
 
Lissu hana sera bali anasubiri Magufuli kesho afungue kampeni, atakachokuwa anaongea Magufuli basi Lissu atakuwa na kazi ya kumjibu. Kimsingi Lissu bado viatu vya Urais havimtoshi
Aisee point umeandika...hata ilani hawana, wanasubiri ya CCM itoke wakaandike kinyume chake
 
Kidogo nikutusi, ila Nilipoona ID ya mwanamke nmeamua kupoa.

Inamaana aliposema alikua kaandaa hotuba , lakn kwa kinachoendelea majimbon kaamua kutoisoma, ili ajikite na haya yanayoendelea... WEWE ULIKUA UNAMSIKILIZA KWA KUTUMIA NN???.
 
Hawajazindua ilani ya uchaguzi kwa sababu ya kubadili ratiba ya kampeni.
Basi hata wangegusia maana ndo lengo la mikutano. Kuweka sera zako juu ya Tanzania ya maendeleo.
 
Kidogo nikutusi, ila Nilipoona ID ya mwanamke nmeamua kupoa.

Inamaana aliposema alikua kaandaa hotuba , lakn kwa kinachoendelea majimbon kaamua kutoisoma, ili ajikite na haya yanayoendelea... WEWE ULIKUA UNAMSIKILIZA KWA KUTUMIA NN???.
Basi labda online TV niliyokua naangalia itakuwa ndo pale iliishiwa charge. Sikusikia hapo.
 
Yaani siku ya kwanza mnataka asema kila kitu!!!! Lakini kasema msingi wa kampeni yake

1. Haki kwa kila mtanzania na mifano ya TRA kudai watu kodi kisiasa
2. Katiba mpya na madara ya Rais kupunguzwa

Ulitaka aanze kutaja madaraja!!!
 
Nimemuelewa. Binafsi nilitaka kusikia pia yeye atafanya nini ili kuweka mazingira mazuri kwa wakulima na wafanyakazi wa Tanzania ?
Una masikio lakini hausikii, una macho lakini hauoni. Yote hayo ni kwa sababu unauhusudu unafki. Hivi unafikiri Tanzania iendelee inahitaji ilani?! Mbona tumeona na kusikia ilani mara kibao, na bado tupo hapa tulipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…