Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Kwa vile ni kesi ya uhaini. Mara ya mwisho kesi ya uhaini iliwahusu akina Ligangira "Uncle Tom" na wenzie mwaka 1983 waliotaka kumpindua NyerereHapo mkuu tuwaulize mamlaka kwanini wameifanya special sana hii kesi kiasi cha kuwadunda waliokwenda kwenye kesi yake.
