PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
kwahiyo wewe na wenzako wenye kumpenda Lissu ndio mna haki pekee ya kuandika hapa?

sisi wengine ambao tupo na mawazo tofauti hatutakiwi kuandika?

really?

exactly this proves my point about your Lissu-narcissism.

goodluck with this nonsense in your heads!
You are just a hater, nothing else
 
You are just a hater, nothing else
hater hating who for what?

kwahiyo hii dunia mtu asipokubali your views basi ni hater?

kwahiyo wewe unataka tukubali views zako na Lissu 100% ili usituone haters?

hii dunia ina vituko sana!
 
hater hating who for what?

kwahiyo hii dunia mtu asipokubali your views basi ni hater?

kwahiyo wewe unataka tukubali views zako na Lissu 100% ili usituone haters?

hii dunia ina vituko sana!
Lisu anapigania haki za wanyonge na maendeleo ya watanzania wote. Jana tu kaeleza wazi kuwa wafungwa wananyimwa hata haki ya kuabudu ambayo ipo kisheria, mimi binafsi sikuyajua hayo, wewe uliyajua? Anyway, lets end there.
 
Justice delayed, justice denied. Mfumo unazidi kumkandamiza.

No reforms. No election.
 
Lisu anapigania haki za wanyonge na maendeleo ya watanzania wote.
hii umesema wewe mzee

sijamtuma anipiganie mimi,mimi naweza jipigania mwenyewe

sijaja dunia hii kuhitaji mwokozi

lissu ni mwanadamu kama mimi,hana lolote kama mimi,ajipiganie maisha yake yeye na familia yake,sijamtuma na wala sihitaji msaada wake

hakuna mahali watanzania wamekaa kitako wakamchagua Lissu kwa kura wakamuelekeza kazi ya kufanya kuwasaidia,no such thing

anajipigania yeye na political ambitions zake anazozijua yeye

yeye sio mwokozi,yeye ni mwanadamu kama mimi,tunapumua sawa

hicho cheo cha mwokozi naomba akuokoe wewe
ana tu kaeleza wazi kuwa wafungwa wananyimwa hata haki ya kuabudu ambayo ipo kisheria, mimi binafsi sikuyajua hayo, wewe uliyajua?
hiyo ni upande wake,katoa tuhuma....tutajuaje ni za kweli au uongo?

kwavile kaongea yeye ni kweli yote?

how do we prove anaongea kweli?

katoa tuhuma which have to be proven kua ni kweli au uongo!

stop this nonsense

mfungwa ni mfungwa..magereza sio sheraton hotel!
Anyway, lets end there.
you end there....dont include me!

fvck outta here!
 
hii umesema wewe mzee

sijamtuma anipiganie mimi,mimi naweza jipigania mwenyewe

sijaja dunia hii kuhitaji mwokozi

lissu ni mwanadamu kama mimi,hana lolote kama mimi,ajipiganie maisha yake yeye na familia yake,sijamtuma na wala sihitaji msaada wake

hakuna mahali watanzania wamekaa kitako wakamchagua Lissu kwa kura wakamuelekeza kazi ya kufanya kuwasaidia,no such thing

anajipigania yeye na political ambitions zake anazozijua yeye

yeye sio mwokozi,yeye ni mwanadamu kama mimi,tunapumua sawa

hicho cheo cha mwokozi naomba akuokoe wewe

hiyo ni upande wake,katoa tuhuma....tutajuaje ni za kweli au uongo?

kwavile kaongea yeye ni kweli yote?

how do we prove anaongea kweli?

katoa tuhuma which have to be proven kua ni kweli au uongo!

stop this nonsense

mfungwa ni mfungwa..magereza sio sheraton hotel!

you end there....dont include me!

fvck outta here!
Unatumia kiungo gani cha mwili wako kufikiria?
 
Nenda kasome Tanzania Prison ACT Cap 58 RE 2002
"Removal of prisoners of unsound mind" hicho kifungu ndiyo kinasema hivyo.
Ikimanisha Mfunguwa au remand prisoner atahamishwa pale ambapo amepata shida ya afya. Hakijasema maswala ya kuhamishwa gereza kuwekwa pamoja na wafungwa wanao takiwa kunyongwa (death row inmates)

Ukitoka hapo ukija kifungu Cha 53 (1) kinazungumzia mamlaka ya kuhamisha mfungwa au mtuhumiwa kutoka gereza Moja kwenda lingine hutolewa na commissioner wa magereza (commissioner of prison) tena kwa order maalumu ikiambatanishwa na warrant of arrest au remand order kutoka mahakamani na ziwe na reason, kwanini iwe hivyo!!

Sijaona mambo ya Bwana Jela hapo Kuwa na mamlaka ya kumhamisha mtuhumiwa gereza.

Wewe hayo yako unayo yasema umeyatolea wapi na Mimi niende nikajifunze?
 
Mbona hao wengine walioko rumande hamwatetei? Kwa nini Tundu yuko special?? Why??
Hapo mkuu tuwaulize mamlaka kwanini wameifanya special sana hii kesi kiasi cha kuwadunda waliokwenda kwenye kesi yake.
 
Huko ndiyo kumamfaa ili apate uzoefu wa waliohukumiwa kunyongwa. Inawezekanaje kweli mtu kutaka kuanzisha uasi kwa nchi tulivu na ya amani kama Tanzania?

Mwambieni aendelee kula mtori nyama ziko chini!! Uahidi kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi halafu SERIKALI ikuchekee tu??? No way
Na mama ako tutampeleka huko.ili akawe chakula cha.lisu
 
Kitu gani kinakuzuia kujitambulisha kwa kabila lako?
Nmekupa tui mfano mkuu wangu, hapo nilikuwa nakupa mfano tuu.
Lakin ujue pia kuna watu wanaweza kuonekana wazalendo mpaka kwa media lakin kumbe mpaka ardhi yenyew ya tz inatoa machoz yq damu dhidi ya dhamira zao mbaya.

The Land itself knows who is real patriot.
 
Kwa maelezo hayo ya lisu bado bashungwa yuko ofisini, aisee tubadilishane wakenya waje Tz hata kwa miezi 6 tu wafanye jambo
 
"Removal of prisoners of unsound mind" hicho kifungu ndiyo kinasema hivyo.
Ikimanisha Mfunguwa au remand prisoner atahamishwa pale ambapo amepata shida ya afya. Hakijasema maswala ya kuhamishwa gereza kuwekwa pamoja na wafungwa wanao takiwa kunyongwa (death row inmates)

Ukitoka hapo ukija kifungu Cha 53 (1) kinazungumzia mamlaka ya kuhamisha mfungwa au mtuhumiwa kutoka gereza Moja kwenda lingine hutolewa na commissioner wa magereza (commissioner of prison) tena kwa order maalumu ikiambatanishwa na warrant of arrest au remand order kutoka mahakamani na ziwe na reason, kwanini iwe hivyo!!

Sijaona mambo ya Bwana Jela hapo Kuwa na mamlaka ya kumhamisha mtuhumiwa gereza.

Wewe hayo yako unayo yasema umeyatolea wapi na Mimi niende nikajifunze?
Kwa domo la Tundu ukute alimropokea Bwana Jela au alimdharau. Na Bwana Jela alaamua kumuonyesha show ya kibabe
 
Back
Top Bottom