Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Hawa Mabalozi mnawa OVERATE sana uwezo wao na kuwatwisha majukumu ambayo siyo yao.Ni vyema Mabalozi wakajionea wenyewe hali halisi na kulinganisha na Katiba yetu ambayo inatamka wazi haki za msingi za mtuhumiwa, ikiwemo haki ya kuabudu na kupata msaada wa kisheria. Ikiwa kweli haki hizo zimekiukwa, basi ni jambo la kusikitisha na linapaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria na misingi ya haki za binadamu. Mfumo wa haki haupaswi kuwa wa upande mmoja.
Hivi mnadhani watafanya nini? Kuikaripia Serikali? Au kushawishi misaada isije? Kwa ajili ya Tundu tu?? Acheni UNDEZI wenu.
Kuna wafungwa na watuhumiwa wengi tu Magereza, Tundu ni nani mpaka apewe VIP treatment.