PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Sasa ulitaka uwekwe wapi ? Uchanganywe na watu wengi gerezani ufanye uchochezi ? Unatafuta nafasi ya kushawishi wafungwa wengine mambo yako ya uhaini, wewe sehemu salama kukaa ni huko death row
 
Huko ndiyo kumamfaa ili apate uzoefu wa waliohukumiwa kunyongwa. Inawezekanaje kweli mtu kutaka kuanzisha uasi kwa nchi tulivu na ya amani kama Tanzania?

Mwambieni aendelee kula mtori nyama ziko chini!! Uahidi kuanzisha uasi kuharibu uchaguzi halafu SERIKALI ikuchekee tu??? No way
Waasi ni wale wanaoteka watu na kuwapoteza kwa kivuli cha wasiojulikana.

Hata Lissu amewataja ndio chanzo cha mguu wa mmoja kuletewa dosari.

Lissu sio hatari kama hao waasi maana hakuna siku tumesikia Lissu kammiminia mtu risasi 32 kwenye eneo lenye CCTV na ulinzi wa serikali na ikapita miaka 8 hakuna mtu anayekamatwa.
 
Wamemuweka huko kumdhoofisha kisaikolojia.
Hiki ndicho nilitaka kukisema, na unaona kuna namna fulani ameanza kuamini hivyo.
"Nimewekwa sehemu ya watu wanaosubiria kunyongwa kabla sijahukumiwa, huenda ndiko ninakoelekea).
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Samia ni mwanamke katili sana kuwahi kutokea duniani.
 
Kama unaweza ona aibu kujitambulisha wewe ni Taifa gani, sintoshangaa kusikia kuwa unaona aibu hata kuwatambulisha wazazi wako kwa marafiki zako
Mtu mwenye ufahamu wa kweli si tu kwamba atawapenda maadui zake wanapofanya vizuri, bali pia atawachukia marafiki zake wanapokosea...

Hapo ndio ilipo tofaut kat yangu na wewe..
Wewe unajifanya kipofu hata pale serikal inapokosea ukijificha kwenye uzalendo..
Mimi nitakosoa na nitaonyesha kuchukizwa pale serikal inapokosea..
 
Alitaka asikae, asimame? Anyway, tunafurahi anavyopoteza muda wa kusililiza kesi yake, sasa hivi saa 6,masaa mawili yajayo muda wa Mahakama umekwisha
Unafikiri tuko 1970 hapa kwamba kilichotokea umekiona wewe pekeyako?

Ndio maana tulitaka hii kesi iruke live ili uongo kama huu uishe.

Hadi sasa anayechelewesha kesi na kupoteza muda anajulikana, danganya watu ambao hawana internet
 
Waasi ni wale wanaoteka watu na kuwapoteza kwa kivuli cha wasiojulikana.

Hata Lissu amewataja ndio chanzo cha mguu wa mmoja kuletewa dosari.

Lissu sio hatari kama hao waasi maana hakuna siku tumesikia Lissu kammiminia mtu risasi 32 kwenye eneo lenye CCTV na ulinzi wa serikali na ikapita miaka 8 hakuna mtu anayekamatwa.
Kila mmoja ashinde mechi zake
 
Kwamba Bwana Jela ana mamlaka ya kumpeleka huko mtuhumiwa ambaye baado hajathibitishwa Kuwa mfungwa?
Hivi nyie jamaa mnatumia nini kufikiria? Mnakosa hata chembe ya utu!!
Jaribu na wewe uvunje sheria halafu upelekwe Magereza. Ile ni dunia nyingine, ina taratibu zake ambazo lazima uziheshimu.

Ni mawazo yangu tu kuwa kwa akili ya Tundu atakuwa amewakwaza mabwana Jela, nao wakamuonyesha makali yao.
 
Wawakilishi wa Kimataifa waliojazana Mahakamani Kisutu wamepigwa na Bumbuwazi baada ya Maelezo ya Tundu Lissu Mahakamani.

Screenshot_2025-06-16-12-13-57-1.png


Lissu ameieleza Mahakama kwamba ameondolewa hata haki yake ya kuabudu pamoja na kutembelewa na mawakili wake, jambo lililofanya aamue kujitetea mwenyewe.

Mmoja wa Mabalozi hao amesema atapitia vifungu vya sheria vya Katiba ya Tanzania ili aangalie namna haki za Watuhumiwa zilivyoainishwa.
 
Tumeshajua huyu samia kwamba hatupendi watanganyika na sasa anataka kutukomesha kama mlivyo wakomesha wajomba zake wa omani
Tunamtakia kila la heri katika huo ukomeshaji wake
 
Wawakilishi wa Kimataifa waliojazana Mahakamani Kisutu wamepigwa na Bumbuwazi baada ya Maelezo ya Tundu Lissu Mahakamani.

View attachment 3371334

Lissu ameieleza Mahakama kwamba ameondolewa hata haki yake ya kuabudu pamoja na kutembelewa na mawakili wake, jambo lililofanya aamue kujitetea mwenyewe.

Mmoja wa Mabalozi hao amesema atapitia vifungu vya sheria vya Katiba ya Tanzania ili aangalie namna haki za Watuhumiwa zilivyoainishwa.
ANAJISUMBUA TU HUYO N MHAINI ANAHADHI GANI YA KUKAA NA WATUHUMIWA?
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Ni vyema Mabalozi wakajionea wenyewe hali halisi na kulinganisha na Katiba yetu ambayo inatamka wazi haki za msingi za mtuhumiwa, ikiwemo haki ya kuabudu na kupata msaada wa kisheria. Ikiwa kweli haki hizo zimekiukwa, basi ni jambo la kusikitisha na linapaswa kushughulikiwa kwa mujibu wa sheria na misingi ya haki za binadamu. Mfumo wa haki haupaswi kuwa wa upande mmoja.
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Mwana kulifandi mwana kuligeti. Hiyo niyo raha ya kuropoka. Hiyo ni trela tu cinema yemyewe bado.

Uongozi ni hekima na busara, kama hukujaaliwa huwezi kuyakwepa hayo
 
Back
Top Bottom