LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
hizo ni rumande za tanzania mjuba, rumande za kinyama! Shame on youMwambie atulize makalio, rumande siyo parokiani unachagua kiti cha kukaa. Rumande siyo Makao Makuu ya CHADEMA unakaa kwenye kiti cha kuzunguka na AC. Rumande siyo hoteli unakaa na kuhudumiwa.
Ukiamua kuwa MWANAHARAKATI mropokaji JIANDAE na mazingira yote utakayokutana nayo.