PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kwanini wewe usife kwanza kwa kumpigania Lissu? Yaani unatuingiza wote kwenye fikra yako??

Hata leo nenda pale Kisutu, zuia gari ya Magereza isipite. Watu kukanyaga then watu watalalamika kwa siku 3 kama walivyolialia kwa Mdude_Nyagali baada ya hapo wanakusahau
Haya yanatoka akilini na kinywani mwa mjinga tu.
Je nawewe ni mjinga??
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Hii sio sawa kabisa kisheria achilia mbali kibinadamu.

Bioa shaka aliyeamuru kumfungulia kesi ya aina hii TAL yeye ndio atatundikwa kitanzi na Mungu mkuu aliye mtakatifu.

Yaani mshitakiwa hajahukumiwa lakini anawekwa kwenye mtaro wa kifo tayari?!!!

@TunduAntipasLissu usife moyo, jipe moyo mkuu, vita umevikabili kwa ujasiri na bado kitambo kidogo nuru yako itarejeshwa na wadhalimu wataingizwa wenyewe kwenye mateso hayo.

#UhaiHakiUtu wa mtu hauwezi kusulubiwa kienyeji hivyo na Muumba mbingu na nchi akabaki kimya bila kurejesha kisasi kwa waovu.
 
haha hujui kama bangi ni dawa njoo tuvute kwanza
Dawa wakati inakuharibu akili na kukufanya chizi. Hujui maana ya dawa? Panadol nayo ni dawa, lakini huwezi kuibugia bila ya taratibu maalum, itakudhuru.
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Wakili wake Lissu anasema sheria imekiukwa. Watu wanaojua hawatoki gerezani watanyongwa hakuna adhabu kubwa zaidi kwao.

The point ni kwamba wanaweza kumdhuru Lissu, hata kumuua.
 
Kama ni kweli aliyoyasema Lissu leo mahakamani ndivyo ilivyo unakosea sana na ni aibu.

Lisu sio mfungwa. Mpe haki zake kama wengine mahabusu.
Ona sasa siri tumezijua sijui huko uliko unajisikiaje kamanda.

Suala la kuabudu kwamba unaogopa maombi. kwamba mawakili wake wakiongea NAE wewe unateseka ukiwa wapi.

Kwamba Lissu ana nini mpaka mnamlinda kama mtu hatari yaani naona kama mnateseka sana.
 
Ila watanzania tumekufa kabisaaaa yaani tunashindwa kuona kuwa TL anatupigania tuamue kwa pamoja wamuachie? ,kuna wakati mtu unafikiria ni bora sisi wote tufe labda kinaweza kutokea kizazi cha kuisadia hii nchi na sio sisi tuliopo
Kuna njia rahisi sana sijui kwanini watu hatuiongelei.
Kifupi tu.
Akuuziaye hofu mlipe hofu
Majadiriano huleta matokeo pale tu wanaojadiri wana nia moja ya kutatua tatizo.
 
Kama ni kweli aliyoyasema Lissu leo mahakamani ndivyo ilivyo unakosea sana na ni aibu.

Lisu sio mfungwa. Mpe haki zake kama wengine mahabusu.
Ona sasa siri tumezijua sijui huko uliko unajisikiaje kamanda.

Suala la kuabudu kwamba unaogopa maombi. kwamba mawakili wake wakiongea NAE wewe unateseka ukiwa wapi.

Kwamba Lissu ana nini mpaka mnamlinda kama mtu hatari yaani naona kama mnateseka sana.
Ni gereza la kikatili sn
 

Attachments

  • IMG_20230730_055342.jpg
    IMG_20230730_055342.jpg
    52.7 KB · Views: 26
Mungu tunakuomba nauangaze nuru yako ya haki na utuimarishe sisi Watanganyika wengine tuwe na moyo mkuu kama wa mtumishi wako Lissu
 
Back
Top Bottom