PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mkuu punguza uongo ndugu yangu hivi unatak kusema kwamba wote walio jela ni wahalifu au wameikosoa serikali?.
Hivi unadhani huko rumande kuna watoto wangap wa viongoz?

Japokuwa ushauri wako ni mzuri kwamba tujiepushe na makosa as kong as tunaakili timamu.
Mbona hao wengine walioko rumande hamwatetei? Kwa nini Tundu yuko special?? Why??
 
Mkuu hujawah ona watu wanashindwa kujitambulisha makabila yao?.
Scenerio aliyo iongelea inaeleweka waz. Kikubwa tuu asiichukir nchi yake mazima.
Kitu gani kinakuzuia kujitambulisha kwa kabila lako?
 
Acha kujifanya bwege fungwa ww uone kama kuna mtu atakuulizia sababu you're nothing to any one
hujulikani na yeyote zaid ya bibi yako
Fungwa kwanza wewe pimbi!! Jitu linataka kuanzisha uasi mnataka tulibembeleze??
 
Boss una wivu mkubwa sana kwa lissu jichinguze chuki yote hiyo inatokana na nini hasa au mnafahamiana face to face, Maana anayopigania ni mambo mema tu
make sure unajitazama vema au alikudonyolea wife wako
Anapigania maisha yake na wanaye tu
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Wamemuweka huko kumtia hofu kuwa atauliwa soon ili akitoka anyamaze kama Watanzania wengine walio wajinga
 
Ila watanzania tumekufa kabisaaaa yaani tunashindwa kuona kuwa TL anatupigania tuamue kwa pamoja wamuachie? ,kuna wakati mtu unafikiria ni bora sisi wote tufe labda kinaweza kutokea kizazi cha kuisadia hii nchi na sio sisi tuliopo
Yaani jamani sijui tumerogwa sisi, Nasikia hasira na uchungu mwingi saiv hata kufungua thread zinazohusu siasa naona zitanipa ugonjwa wa moyo nazipita tu 😭.
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Lakini ni Chumba tuu hukumu Bado

Sina hakika kama mfungwa Huwa anachagua jela
 
Wamemuweka huko kumdhoofisha kisaikolojia.

Ila they are in for a treat. Kitendo cha kujiwakilisha yeye mwenyewe, waendesha mashtaka wa serikali wanaelekea kwenye kudhalilishwa kitaaluma sasa.
Kwamba wale Mawakili 200 waliokuwa wanamtetea si lolote si chochote? Basi sawa.
 
Akiongea mahakamani leo Tundu Lissu ameeleza kuwa licha ya kuwa hajahukumiwa lakini anakaa upande wa watu waliohukumiwa kifo katika gereza la ukonga.

"Gereza la Ukonga lina sehemu mbili, kuna sehemu amabayo wafungwa wote waiohukumia miaka 30, mahabusu...... wanatakiwa wakae. Halafu kuna eneo moja linaitwa special wing ambalo wanakaa wafungwa waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kunyongwa.

Mimi nakaa kwenye hiyo sehemu wanaokaa hao wanaotakiwa kunyongwa"

Mbowe nae aliwekwa chumba hicho hicho na hakuwa analia lia kama Braza K Mapovu.
 
Fungwa kwanza wewe pimbi!! Jitu linataka kuanzisha uasi mnataka tulibembeleze??
Wewe ngu.ruwe, hayo mashitaka yako mbona MAKADA wenu huko Mahakamani wanashindwa kuyawasilisha rasmi ili kesi ianze kusikilizwa? Leo ni zaidi ya sku 70 MAKADA wa huko Mahakamani wanapiga danadana tu. Huyo MLEVI wenu Idd Amin Mama ameyatafuta-atayapata tu.
 
KESI YA MAMA

MAGEREZA YA MAMA

MAHAKAMA YA MAMA

ASKARI WA MAMA

HAKIMU WA MAMA

WAENDESHA MASHTAKA WA MAMA

KARANI WA MAMA

KISUTU YA MAMA
wafuasi wa lissu wanasema sio mama.....eti ni mbowe ndio anamtesa Lissu

wale wafuasi ni vichaa,yaani bado wapo kwenye uchaguzi wa january 21st still....hawaoni mtu ana kesi serious ya kuishughulikia wao wanawaza Mbowe
 
Ila watanzania tumekufa kabisaaaa yaani tunashindwa kuona kuwa TL anatupigania tuamue kwa pamoja wamuachie? ,kuna wakati mtu unafikiria ni bora sisi wote tufe labda kinaweza kutokea kizazi cha kuisadia hii nchi na sio sisi tuliopo
sijatuma mtu anipiganie lolote

lissu is fighting for his own political glory,hakuna kikundi cha wananchi wamekaa kikao na "kumtuma" yeyote kufanya lolote kwa niaba ya yeyote

hii narrative kuna yeyote katuma mwanasiasa popote ampiganie kwa lolote ni some kind of narcissism ya wanasiasa.

i dont need any messiah to save me from anything,i can take care of myself!
 
If that is the case, hukua na sababu ya kuja kuandika hapa. Keep taking care of yourself
 
kwahiyo wewe na wenzako wenye kumpenda Lissu ndio mna haki pekee ya kuandika hapa?

sisi wengine ambao tupo na mawazo tofauti hatutakiwi kuandika?

really?

exactly this proves my point about your Lissu-narcissism.

goodluck with this nonsense in your heads!
 
Back
Top Bottom