Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

Lissu: Nitarejea Tanzania endapo yafuatayo yatafanyika

Kijana Tundu anaishi dezo huko hawezi kuja huku,watoto wake wanasoma bure na yeye anadaka kila mwezi
Mimi namshauri Lisu arejee tu, sioni hayo madai yake yakitekelezwa. Ila nina uhakika hawezi kufanyiwa madhila yoyote, kwakuwa aliyekuwa anaagiza afanyiwe ule udhalimu alikuwa ni Magufuli kutokana na kiburi cha madaraka, na kutokutaka kukosolewa. Hayo madai yake mengine aje atayafuatilia akiwa hapa kwa yale yanayowezekana.
 
Wewe ndio fala kabisa
SI akae huko anakoona Kuna usalama
Chizi kabisa wewe na lissu wako
Fala ni wewe na yule bwana yako marehemu aliyesema corona imeisha huku watu wanateketea na mwishowe ikaja kumuua kwa aibu tena baada ya kupelekwa Kenya kwa uficho kama gunia la bangi. Mbona hakujifukiza kama alivyokuwa anadanganya watu?
 
Wenye akili tuliona hilo wakati wa kampeni za urais, ni kama vile alikuwa anataka "aonewe" ili apate sababu za kurudi huko, watu wanajiuliza ilikuwaje Mh. Mbowe na uongozi wa Chadema hawakuushtukia mchezo aliokuwa nanacheza Lisuu na matokeo wakaambulia mbunge mmoja tu!
Wewe ulitaka amsifie... ...mungu mtu
 
Kijana Tundu anaishi dezo huko hawezi kuja huku,watoto wake wanasoma bure na yeye anadaka kila mwezi

Ni sawa, kama huku nyumbani jiwe na kundi lake la kidhalimu walitaka kumuua ni bora aendelee kukaa huko huko. Ila akiona anataka kurejea arejee tu maana dhalimu saa hii yuko motoni.
 
Bado hali sio shwari.
Kumbuka watu wa meko bado wana ile mentality ya unyama na uuaji.
Itachukua muda kidogo hawa wauaji kubadiki misimamo yao.
Bado wanatembea kwenye kivuli cha meko na ukatili wake.
Angalia tu a hata baadhi ya wana JF kwenye hii thread.
Bado wana ukatili na roho mbaya ambayo walimezeshwa na meko na kina heri wa uvccm.
Kwa hio bafo haki si shwari
Tuna ukatili kama wenu juu ya Hayat Magufuli Tena nyie ndio makatil balaa mme fanyia ukatili mpaka mait Sasa mambo ni bampa tu bampa huu ni wakat wa Tundulisu kukutana na maneno machungu kila siku
 
Sasa nani anamuhitaji huku, anapima upepo eeh,
Mwambieni akae huko huko Tz hatutaki wanafki, wachochezi na wachumia tumbo.
 
Kwani amesikia watanzania wana njaa ya yeye kurudi hadi atoe masharti ya kurudi!
 
Sasa nani anamuhitaji huku, anapima upepo eeh,
Mwambieni akae huko huko Tz hatutaki wanafki, wachochezi na wachumia tumbo.
Inawezekana aliomba ukimbizi kwa sababu yakumwogopa Mmagufuli, ambaye ndiye aliyekuwa ejanda yake kwa miaka yote mtano iliyopita hata kabla hashambuliwa na magaidi. SasaMagufuli hayupo, huenda waliomfadhili wanaanza kugeuka.
 
Fala ni wewe na yule bwana yako marehemu aliyesema corona imeisha huku watu wanateketea na mwishowe ikaja kumuua kwa aibu tena baada ya kupelekwa Kenya kwa uficho kama gunia la bangi. Mbona hakujifukiza kama alivyokuwa anadanganya watu?
Mke mdogo was Lisu Katika ubora wako
 
Back
Top Bottom