Unaonaje ukijiwahi zahanati iliyo karibu ili kusikiliza hotuba ya Rais ajaye ukiwa umetundikiwa drip kuokoa maisha yako yaliyo hatarini kwa blood pressure?Yawezekana kabisa kwenye nchi ya kusadikika
Hatutaki uonevu. Watu washughulikiwe kwa mujibu wa sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani.Wakishughulikiwa si mnasema wamebambikiziwa kesi? mnalo jema nyie?
Lissu anajua zaidi ya hayoSiasa bwana,hapa akicheza karata vizuri anaweza ibuka but sio tl but kwa mwaka huu atakaecheza karata vzr kwenye hoja ya salary,pension namna inavyoathiri jamii kwa mapana yake atapata kura mno,acheze na saikoloji ya watu tu,
Naona mwaka Huu Lissu atapigwa Bomu la Nyukilia sio tena mitutuAgenda za Lisu zibase kwenye MAOVU/Machungu yote yaliyofanywa na awamu hii. Maana hakuna ambaye hajaguswa na hivyo lazima you will win the majority!
Ongezea
-Review ya wafanyabiashara wote waliofilisiwa biashara zao kama walitendewa haki.....tume maalum ya kutenda haki
- Kesi ambazo zina hukumu zenye utata ambazo watu wamepewa hukumu za "maagizo"
- Review ya kesi za uhujumu uchumi/kutakatisha fedha zote.... commonwealth judges kuhusishwa kuondoa bias
- Review ya manunuzi yote ambayo hayakupitia bungeni
-Mikataba yote iliyoingwa awamu hii
-Tender zote za awamu hii
etc Mwanahabari Huru
Hamtaki wewe na nani? hameni nchi.Hatutaki uonevu. Watu washughulikiwe kwa mujibu wa sheria sio kwa matakwa ya mtu fulani.
Hatuhami tutakomaa hapa hapaHamtaki wewe na nani? hameni nchi.
Hatuhami tutakomaa hapa hapaHamtaki wewe na nani? hameni nchi.
Hatuhami tutakomaa hapa hapaHamtaki wewe na nani? hameni nchi.
Akisoma huu uzi na comments za watu,bila shaka atapata nafasi ya kujua shida na matatizo yanayogusa wananchi wengi moja kwa moja.Mkuu uko vizuri......kimsingi hakuna MKULIMA, MFANYAKAZI, MFANYABIASHARA au MWANAFUNZI anayewaza kuiopigia kura chama cha kishetani ccm kwahiyo uguse sehemu hizo zote inatakiwa kupangulia.....
1. BIASHARA: Aahidi ni namna gani ataboresha mazingira rafiki ya kibiashara nchini
2. WAKULIMA: AFANYE MPANGO WA KUONDOA VYAMA VYA MSINGI AMBAVYO KIMSINGI VILISHASHINDWA NA VIMEREJESHWA LKN NI KILIO TU KWA WAKULIMA
3. AAPE KUWASAMBARATISHA WASIOJULIKANA
4. AJIRA: ATANGAZE AJIRA KWENYE SEKTA YA AFYA NA ELIMU MAANA KUNA WAHUDUMU WACHACHE SANA WKT WAHITIMU WAMEJAA MITAANI
Yapo mengi maana hii serikali ya hovyo imeharibu uchumi wa nchi tayari....
Hakika TL NDIO TUMAINI PEKEE LA WATZ MTETEZI WA KWELI NA KWA VITENDO WA WANYONGE
We mchawi huna hoja zaidi ya chuki binafsi kwa Lissu.Hata kingwendu akigombea urais anaweza akayaahidi yote uliyoyaandika na tena anaweza akaahidi kuyatekeleza ndani ya siku 5 tu baada ya kuapishwa.Wanachokiangalia Watanzania mtu kuahidi tu bali uwezo na legacy ya huyo mtu,je ana uwezo wa kutekeleza hayo anayoahidi au ni tapeli tu? tundu lissu hana legacy yoyote, ana sifa ya uropokaji na uongo na ni mmoja kati ya wanasiasa matapeli ndani ya nchi hii akiangukia kwenye kundi la akina mbowe,zitto,msigwa,heche nk.Kwa mtu kama tundu lissu bado sana na hana ubavu hata kidogo kupambana kisiasa na Dr. Magufuli,utakuwa mpambano wa mbwa(tundu lissu) na Simba( Magufuli) ambapo obvious mshindi anajulikana.
Maji ni huduma Dada, ebu wakati mnawaza hayo fikirini na namna ya kutengeneza faidi kwenye miradi mikubwa ya miundombinu ambayo rais magufuli tayari ameitekeleza sababu nchi ni yetu na rais amefanya kwa ajili yetu mambo ya kukamua wananchi kwenye huduma kama maji sio sawaNgoja wanaume wachukue nchi utaona mabadiliko. Maji ni bidhaa inayohitajika mno ikiendeshwa ki biashara na si kisiasa maji yana faida na wananchi watanufaika.
Ni wewe umeseme!!TOO MUCH EXPECTATIONS
Asante sana.Tumsaidie kumkumbusha maana yeye kama mwanadamu kuna mambo ya msingi anaweza kuyasahau hivyo tumsaidie kwa njia hii.