Uchaguzi 2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

Uchaguzi 2020 Lissu njoo na ahadi ya kifuta machozi kwa waliofukuzwa kwa vyeti feki, kulipa malimbikizo ya salary increment za watumishi na ...

Siasa bwana,hapa akicheza karata vizuri anaweza ibuka but sio tl but kwa mwaka huu atakaecheza karata vzr kwenye hoja ya salary,pension namna inavyoathiri jamii kwa mapana yake atapata kura mno,acheze na saikoloji ya watu tu,
Lissu anajua zaidi ya hayo
 
Agenda za Lisu zibase kwenye MAOVU/Machungu yote yaliyofanywa na awamu hii. Maana hakuna ambaye hajaguswa na hivyo lazima you will win the majority!
Ongezea
-Review ya wafanyabiashara wote waliofilisiwa biashara zao kama walitendewa haki.....tume maalum ya kutenda haki
- Kesi ambazo zina hukumu zenye utata ambazo watu wamepewa hukumu za "maagizo"
- Review ya kesi za uhujumu uchumi/kutakatisha fedha zote.... commonwealth judges kuhusishwa kuondoa bias
- Review ya manunuzi yote ambayo hayakupitia bungeni
-Mikataba yote iliyoingwa awamu hii
-Tender zote za awamu hii
etc Mwanahabari Huru
Naona mwaka Huu Lissu atapigwa Bomu la Nyukilia sio tena mitutu
 
Mnajitekenya wenyewe mnacheka wenyewe hamuon hata Kama uyo mmama badala alee wajukuu yeye kutwa yupo insta kushabikia ujinga wa kipumbavu
 
Hata kingwendu akigombea urais anaweza akayaahidi yote uliyoyaandika na tena anaweza akaahidi kuyatekeleza ndani ya siku 5 tu baada ya kuapishwa.Wanachokiangalia Watanzania mtu kuahidi tu bali uwezo na legacy ya huyo mtu,je ana uwezo wa kutekeleza hayo anayoahidi au ni tapeli tu? tundu lissu hana legacy yoyote, ana sifa ya uropokaji na uongo na ni mmoja kati ya wanasiasa matapeli ndani ya nchi hii akiangukia kwenye kundi la akina mbowe,zitto,msigwa,heche nk.Kwa mtu kama tundu lissu bado sana na hana ubavu hata kidogo kupambana kisiasa na Dr. Magufuli,utakuwa mpambano wa mbwa(tundu lissu) na Simba( Magufuli) ambapo obvious mshindi anajulikana.
 
Mkuu uko vizuri......kimsingi hakuna MKULIMA, MFANYAKAZI, MFANYABIASHARA au MWANAFUNZI anayewaza kuiopigia kura chama cha kishetani ccm kwahiyo uguse sehemu hizo zote inatakiwa kupangulia.....

1. BIASHARA: Aahidi ni namna gani ataboresha mazingira rafiki ya kibiashara nchini
2. WAKULIMA: AFANYE MPANGO WA KUONDOA VYAMA VYA MSINGI AMBAVYO KIMSINGI VILISHASHINDWA NA VIMEREJESHWA LKN NI KILIO TU KWA WAKULIMA
3. AAPE KUWASAMBARATISHA WASIOJULIKANA
4. AJIRA: ATANGAZE AJIRA KWENYE SEKTA YA AFYA NA ELIMU MAANA KUNA WAHUDUMU WACHACHE SANA WKT WAHITIMU WAMEJAA MITAANI

Yapo mengi maana hii serikali ya hovyo imeharibu uchumi wa nchi tayari....

Hakika TL NDIO TUMAINI PEKEE LA WATZ MTETEZI WA KWELI NA KWA VITENDO WA WANYONGE
Akisoma huu uzi na comments za watu,bila shaka atapata nafasi ya kujua shida na matatizo yanayogusa wananchi wengi moja kwa moja.
 
Hata kingwendu akigombea urais anaweza akayaahidi yote uliyoyaandika na tena anaweza akaahidi kuyatekeleza ndani ya siku 5 tu baada ya kuapishwa.Wanachokiangalia Watanzania mtu kuahidi tu bali uwezo na legacy ya huyo mtu,je ana uwezo wa kutekeleza hayo anayoahidi au ni tapeli tu? tundu lissu hana legacy yoyote, ana sifa ya uropokaji na uongo na ni mmoja kati ya wanasiasa matapeli ndani ya nchi hii akiangukia kwenye kundi la akina mbowe,zitto,msigwa,heche nk.Kwa mtu kama tundu lissu bado sana na hana ubavu hata kidogo kupambana kisiasa na Dr. Magufuli,utakuwa mpambano wa mbwa(tundu lissu) na Simba( Magufuli) ambapo obvious mshindi anajulikana.
We mchawi huna hoja zaidi ya chuki binafsi kwa Lissu.

Huyo Magu hata ukimshindanisha na Kigwendu,Kingwendu anamshinda tena asubuhi na mapema.
 
Ngoja wanaume wachukue nchi utaona mabadiliko. Maji ni bidhaa inayohitajika mno ikiendeshwa ki biashara na si kisiasa maji yana faida na wananchi watanufaika.
Maji ni huduma Dada, ebu wakati mnawaza hayo fikirini na namna ya kutengeneza faidi kwenye miradi mikubwa ya miundombinu ambayo rais magufuli tayari ameitekeleza sababu nchi ni yetu na rais amefanya kwa ajili yetu mambo ya kukamua wananchi kwenye huduma kama maji sio sawa
 
Natumai amepita hapa achukue points hizi.. Mpeni taarifa kuwa kura zetu anazo sisi wananchi tulionyanyasika na utawala huu. Na tunaahidi kuzilinda hiyo siku. Iwe jua iwe mvua Rais wetu hapa ni Tundu Lissu.
 
Mimi Raia watanzania siwezi wala kusubut kumpa kula lissu siwezi poteza kula nyangu kwa mtu asie penda kwao 😛uuuh ayo nimate nimetema chini
 
Asante sana.Tumsaidie kumkumbusha maana yeye kama mwanadamu kuna mambo ya msingi anaweza kuyasahau hivyo tumsaidie kwa njia hii.

Kabisa. Kwa kweli tumepata faraja sana kwa nchi yetu kwa nia yake ya kuchukua nchi. Tulishahisi labda Mungu ametusahau. Ukombozi sasa umefika.
 
Back
Top Bottom