Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Mbali na kuwasimanga Viongozi wa dini pia aache kuzishutumu Barakoa yeye ni Raisi wetu anatakiwa kuangalia mataifa mengine yanavyopambana na hili gonjwa sio vibaya kuiga mazuri kuliko kuwa mbishi huku raia wakiangamia
 
Member since 2009 wewe ni mkongwe humu kamanda tafuta hela achana na Magufuli leo kasali wapi
Dah well spoken,yani umenigusa, what a naked truth!


Watu wanapenda sana petty things, kwamba Rais anapaswa aonekane wherever atakapokuwa the same time mtu anayehoji hivyo anapoteza muda ambao angeutumia kufanya mambo ya KIUCHUMI!!

Hovyo kabisa!!
 
Mbali na kuwasimanga Viongozi wa dini pia aache kuzishutumu Barakoa yeye ni Raisi wetu anatakiwa kuangalia mataifa mengine yanavyopambana na hili gonjwa sio vibaya kuiga mazuri kuliko kuwa mbishi huku raia wakiangamia
Nani kakudanganya Barakoa ndiyo suluhu ya UVIKO. Prof Mgaya juzi kawambia hakuna soulution kwenye tatitzo la UVIKO, kinachofanyika ni trial and error. Hata chanjo nayo haina uhakika. so pambana kwa kutumia silaha unayoona inafaa. Lakini kusubiri rais atangaze lockdown kama chadema mnavyotaka mtasubiri sana
 
Hilo suala mumelifanya kuwa la kisiasa wewe unaweza kuwa na umri mdogo watu wazima na wale wenye maradhi pamoja na Ukimwi wanaangamia kila siku
 
Nipambane na nini wakati maombi ya siku tatu yaliondoa corona ikaishia kuwacoronea wazungu.
 
Mbali na kuwasimanga Viongozi wa dini pia aache kuzishutumu Barakoa yeye ni Raisi wetu anatakiwa kuangalia mataifa mengine yanavyopambana na hili gonjwa sio vibaya kuiga mazuri kuliko kuwa mbishi huku raia wakiangamia
Mungu Amsamehe tu , maana ashamuonyesha wenzake wanavyojisikia ...basi ampe kujirekebisha
 
Jamaa wanataka awe anatembea tembea kama ombaomba kama wao. Shame on you
 
Mkuu wewe unaenda kanisani mwaka mzima?? Au mlitaka awe filmed nyumbani kwake kuona ana spend vipi jumapili yake bila kwenda kanisani? Watanzania nimewavulia kofia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo rais akianza kuruhusu video zake akitoa maagizo ya kiserikali kutoka kanisani, anatengeneza expectations fulani.

Zaidi, kashaonekana hata nje ya kanisa?

Rais ni mtumishi wa umma, anawajibika kwa umma.

Mimi nikiamua kujifungia ndani ni sawa, sijapigiwa kura na mtu.

Rais, unless yuko likizo, ana engagements na umma.
 
Hospitalized kuna blog moja ime report uko twitter
 
Angekuwa mtenda haki watu kama wewe wangekuwa wengi sana maskin, just imagine kama ikimtokea Dr Husain Zanzibar?? Vile watu wangekuwa wanamsikitikia na kumuombea duwa nzuri, leo hii sio Pemba wala Unguja wote wamoja. Iakini ona huku namna watu walivokuwa hawana huruma naye..du balaa hili.
 
Ha ha ha ,your nothing but zero brain,!Do you know the meaning of guetel?
Have you forgotten that you branded me with the ZB capability and concurred with the rating? It is fine given the fact nothing alters my intellectual rating as it always critically reason out for the lasting solution matrix.

Are you comfortable Mr. Physician responsible for care, pain management and critical care medicine?

Abstain from booing at someone you do not know the background, therefore you better discuss issuesrather individual personality.
 
Fanyeni mambo yenu hebu mwacheni rais apumnzike jaman yaan akienda chooni mnasema,
 
Wabongo bwana.....!!
Mtu ni juzi tu mmemiminia kura za kutosha na maneno ya kumsifka, lkn leo hii kwenye mitandao ya kijamii ananangwa na kuombewa apitiwe na yule shetani mtoa roho kweli....!!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…