Tuwaombe Viongozi wa dini wampe msamaha ..
na tuamtake anayeongoza propaganda za kuwachafua viongozi wa dini waache ....lazima waelewe pamoja na wananchi wengi waliokufa ....kutokana na kazi zao za kichungaji /sheikh viongozi wetu wanaenda kuwaombea wagonjwa , wanaendesha mazishi na hii imefanya wengi katika siku za karibuni wapate maambukizi na wamekufa ... ni kosa kubwa mno na dhambi kuanza kuwashambulia pale wanapotoa tahadhari ya ugonjwa huu na kutolea mfano wao wenyewe walivyoathirika ...sio busara kuanza kuwatukana binafsi ....nani alisema wao ni Miungu na watakatifu na hata kwa madhaifu yao muwaondolee haki ya kutoa misimamo yao ya kiimani na kichungaji