Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

BAVICHA bwana wanapenda sana kutrack movements za Rais maana wanaogopa asije ibukia majumbani mwao na kuwatumbua maana jamaa badala ya kuhudumia familia zao wamezitelekeza na kuhamia mitandaoni kupiga porojo.
Kweli bwana!!
 
Muulize Kassim Majaliwa atakupa jibu.
 
kama mwanzo wachawi na wanga mlizusha amefariki.mkachinja na kuku kusherehekea na haikuwa kweli.

subirini kucheza matumbo ya uzazi kwa mara nyingine.rais ana mapumziko pia.
Karibu sana kwenye Uhalisia wa jembo lenyewe!!
 
Ukishachagua kuwa mwanasiasa hakuna kupumzika kwa amani.

Utaandikwa andikwa tu, hata baada ya kufa.

Maana ni maisha uliyoyachagua mwenyewe.

Hakulazimishwa kuwa mwanasiasa.
Na ndiyo maana hata leo anaandikwa sana Timu yake wanachukia kweli na kusema marehemu huwa hasemwi vibaya.
 
Serikali ilizingua sana kwenye hili jambo. Yaani walichukulia bado tupo karne ya 19 huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…