Labda yuko Dodoma aliswali Ijumaa kwenye Msikiti wake alojenga kwa msaada wa Kanisa Katoliki kule Chamwino karibu na Ikulu, hakupewa nafasi ya kuhutubia, Waislam wangeshangaa Kafiri kuingia Msikitimi. Sasa ni mpenzi wa Allah baada ya kuona Changamoto ya kupumua haiishi licha ya yeye, msema kweli, na wanaCCM wote kumwomba Mungu wa Israel siku tatu mfululizo bila mafanikio. Labda hasemagi kweli Mungu kachukia, gonjwa linaongeza kasi!Naam wakuu,
Leo ni Jumapili nyingine. Nimezoea kukutana na mnakasha humu JF au kukutana na mabandiko katika makundi sogozi ya WhatsApp yakiambatana na picha yakionyesha Rais alikoshiriki ibada. Mara nyingine hata akipewa nafasi kutoa neno kanisani.
Yupo Dar bado? Leo Machi 7, 2021 amesali wapi? Amepata nafasi ya kutoa neno?
Anafanya kikao siku ya Ibada ? Kuna umuhimu kiasi hicho? Unless kama Nchi imevamiwaMzee yupo amejaa tele.
Leo alikosa tu muda wa kuhudhuria ibada kutokana na kikao alichofanya na wasaidizi wake.
Kuna lingine la kuuliza Bwashee?
Aaahh unajua aaahh pale ikulu, eeehh huwa shughuli zinaendelea tu kama kawaida siku zote!! Eehh hatuna siku za ibada na sikukuu pale!! Sawa mkuu.Anafanya kikao siku ya Ibada ? Kuna umuhimu kiasi hi hicho? Unless kama Nchi imevamiwa
Nani kamzuia Raia No.1.Swali:Je,anazuilika?Ilikuwa asali kkkt azania naona imepigwa azuwea.
Naomba niishie hapo tafadhali
Wee hujui kabla hajaenda huwa kuna barua inatangulia nyuma siku 7? Na isipojibiwa tayari inajulikana imeshindikana. Na tangu matamko yatolewe na vionvozi wa juu wa makanisa nae kaingia ubaridi maana anaweza enda na asipewe nafasi ya kuzungumzaNani kamzuia Raia No.1.Swali:Je,anazuilika?
Kwa furaha!Sasa nakubali hata mh akianguka leo,hakuna atakayeacha kulia.
Ungesema tu ukweli ili ukuweke huru. Kanisani hivi sasa ni mwendo wa barakoa...Mzee yupo amejaa tele.
Leo alikosa tu muda wa kuhudhuria ibada kutokana na kikao alichofanya na wasaidizi wake.
Kuna lingine la kuuliza Bwashee?
Mbona akiwa kanisani tunajulishwa kwa lazima?Kwani ni lazima tujue kila mahali alipo?
Ni lazima tujue Mkuu maana ni Rais wetu mpendwa wa Nchi, hadi Lissu anauliza hili jambo ni shida, italeta taharuki hii hali[emoji848][emoji848]Kwani ni lazima tujue kila mahali alipo?
Wameshazoeshwa ndio tatizoKwani ni lazima tujue kila mahali alipo?