Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Pole sana! Unajua huyu Tototundu ni mzushi. Anataka kuzusha kama gazeti lilivyozusha juzi likaandika .....The country is plagued by secrecy, paranoia and rumours, including unconfirmed reports that Magufuli himself has been hospitalised and is on a ventilator...... Hili gazeti la sauzi ni wapuuzi tu. Endelea Tanzania & Covid-19: Zanzibar leader Maalim Seif Hamad died just as new dawn was rising over the Indian Ocean archipelago
 
Hapana... nataka akienda kanisani asiambatane na Gerson, Azam TV, ITV et el.... kama ambavyo hajaenda na kina Azam TV hawajaenda...

Hivi unadhani kina JK na Mkapa walikuwa hawasali?

Nimekuelewa thanks, akitoka huko mafichoni inabidi a reflect, but hivyo vyombo vya habari huwa vinaitwa? Au vinaenda vyenyewe kwenda anaposali?
 
Unaongea nini wewe mkuu?

Lisu huyu huyu aliekimbilia kwa amsterdam akihofia kitisho cha kwenye simu? Ndio jeshi?
Jeshi imara ni lile lililommìinia risasi 16 na kushindwa kumuua...

Nadhani hivi sasa lingetumia bomu la Nuclear...
 
Wee hujui kabla hajaenda huwa kuna barua inatangulia nyuma siku 7? Na isipojibiwa tayari inajulikana imeshindikana. Na tangu matamko yatolewe na vionvozi wa juu wa makanisa nae kaingia ubaridi maana anaweza enda na asipewe nafasi ya kuzungumza
Hili la kumzuia Jiwe ni ndani ya Tanzania yetu,iliyoko Afrika au kuna Tanzania nyingine,labda ipo ulaya/US? 🤣 🤣
 
Nimekuelewa thanks, akitoka huko mafichoni inabidi a reflect, but hivyo vyombo vya habari huwa vinaitwa? Au vinaenda vyenyewe kwenda anaposali?
Hahahaa Rebekita hili swali mbona la uchochezi, we unadhani kwanini vilikuwa havimfuati JK?

Na kwanini huwa hatuambiwi padre kahubiri nini (amba londo lengo kuu la ibada) lakini tunaambiwa alchosema muumini wa kawaida?
Stuka Rebekita, think!
 
Bichwa langu ndio limeishia hapo mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], thanks kunidadavulia, nadhani akitoka huko atajichunguza mwenyewe
 
Ukiona swali kama hilo limekuja ujue kuna shida sehemu. Lissu n mtu mkubwa na kwa ukubwa wake atakuwa amepata fununu. Msibeze hili[emoji848]
Mambo tu ya mtandaoni inawezekana yupo mapumzikoni. Akionekana kwenye uzinduzi watu wana laum, asipo onekana lawama. Dah kweli ubinadamu kazi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
 
Sasa huyu bwana ni wakupima akili zake, baada ya uchaguzi alitamka kuwa hautambui uchaguzi na wala hamtambui Rais. Kwa mafikara ya Lissu Tanzania haina Rais.

Sasa huyo Rais wa Tanzania anayeliliwa na Lissu aonekane hadharani ni yupi?

Poor Lissu, shame on you
 
Back
Top Bottom