Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Hawajajifunza tu? Raisi kama hajaonekana subiri aonekane au subiri taarifa rasmi.
 
Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si huwa unasema hukumchagua kuwa rais wako???

kweli unafiki una rangi nyingi.
 
Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Hapana sio kwa Rais, Rais ni taasisi ndiyo sababu anaweza akaamua kusali kanisa lolote au msikiti wowote na akapewa nafasi kibwa kuliko wewe muumini wa kanisa au msikiti husika, pia Raid aingiapo kanisa ni au mikitini huingia na kundi kubwa la watu wasio waumini wa dini husika na hakuna wakuwahoji pia wewe kama uko kwenye msafara wake hauwezi ukaishia nje kama si mfuasi wa dini hiyo, lazima uingie ndani na kuchagua sehemu ya kukaa bila kuhojiwa na mtu.
Kwa yote niliyoyaeleza utaona tofauti iliyopo kati yake na yako.
 
Mwaka 1971 Rais Nyerere alitangaza kutoitambua serikali ya Idi Amin.

Je, alipimwa akili lini?

Pumbavu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]si huwa unasema hukumchagua kuwa rais wako???

kweli unafiki una rangi nyingi.
 
Hata Kama Freemason house picha upigwa?

Mzee yupo Tele soon atakuja na Mkeka mkali sana wa Uteuzi walau atamfikiria Lissu walau ubunge wa Mbatia
 
Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
unauhakika kama haonekan wewe vipi.kwa hio unataka watu wawe wanashinda tweeter. mtabak na dua la kuku......
 
Basi muache kutoa press release za mambo binafsi ya mtu. Akikomunika mnatoa taarifa, akihema mnatoa taarifa, akikohoa mnakaa kimya!!!
 
Lissu alikuwa mgombea mwenza,anachotakiwa ni kumpigia simu na kumuuliza kunani rafiki yangu Pombe siku mbilitatu sijakusikia au amesahau ukarimu wa kitanzania baada ya kuishi huku ubeberuni.
 
Sikujua kama haonekani mpaka nimesoma huu uzi.

Humu nchini kote hakuna aliyejua kama haonekani mpaka aliye nje ya Tz ndiye kauliza.
 
Ukisoma juujuu hutaelewa. Hii ndio Jamii Forums niliyojiunga miaka 10 iliyopita.[emoji120] Akienda letu, asipoenda lake.
Ahsante sana mama kubwa kwa kunigongea Like. Kuna baadhi ya members wakikugongea Like hata kama ulikuwa na njaa unajisikia kushiba.
 
Mbona Magufuli anaiogopa Dom?
Siku hizi amekuwa anaiogopa dom? Mwanzo mlisema anaiogopa dar, alipokuja dar mkasema anaiogopa dom..

Kweli akili ukikabidhi kwa mtu shida sana
 
Back
Top Bottom