Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Dada mbona akiwa kanisani huwa mnatujulisha?
image_search_1615122434459.jpg
 
Dah Mkuu imekuwaje umeandika. Ni wewe ama account yako imehakiwa? Ama umekosa teuzi? Ama umepotezewa maana wewe ni bonge la attention seeker humu.
 
Kwenda kanisani ni la mtu, mungu wake na Media. Kutoenda kanisani ndio la mtu na mungu wake pekee...

Nadhani umenielewa hasa hapo kwenye mungu badala ya Mungu....

Mkuu wewe unaenda kanisani mwaka mzima?? Au mlitaka awe filmed nyumbani kwake kuona ana spend vipi jumapili yake bila kwenda kanisani? Watanzania nimewavulia kofia 🤣🤣🤣
 
Hivyo iweje sote tupo kimya hadi mtu toka Belgium ndiye haulize uwepo wa rais wetu!?
 
Mkutano wa nchi EAC alihudhuria si ulifanyika kwa njia ya Video? labda hiyo ya kuto onekana kanisani labda ....
 
Maaskofu wanataka waumini wao wazingatie kuwa kuna corona wachukue tahadhari.

Basi rais akiwa muumini wa kanisa hili ameamua achukue tahadhari kwa kumuomba Mungu wake bila kwenda kanisani.
 
Mkuu wewe unaenda kanisani mwaka mzima?? Au mlitaka awe filmed nyumbani kwake kuona ana spend vipi jumapili yake bila kwenda kanisani? Watanzania nimewavulia kofia [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hapana, nataka akienda kanisani asiambatane na Gerson, Azam TV, ITV et el. Kama ambavyo hajaenda na kina Azam TV hawajaenda.

Hivi unadhani kina JK na Mkapa walikuwa hawasali?
 
Sasa mbona kila wiki mnatupia picha zake. Mbona sasa kimya?
 
Mi naona hivi ndio poa, Mubashara zikipungua tutaanza kuonana ikiwa absolutely necessary sio kama dozi ya dawa.
 
Back
Top Bottom