4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hee mkuu, ukweli waujua, mpaka mwanao wa mwisho anajua japo anaogoba kwambia Kama baba yake usije mfukuza nyumbani bure ukiacha na shemeji anajua ukweli sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hebu kwanza.Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Kama kajisimika na tukilalamika atatumia Majeshi hadi ya magereza sasa tukwetake?Taratibu utakubali tu kama ni rais wako, hata kama ni kwa fimbo utakubali tu
Haya, wewe sasa unataka kuanzisha kona nyingine juu ya hili.Liso keshakuwa Ni mpumbavu na mpayukaji asiye Maana!!
Kwani ni Lazima kila wiki mtu uende kanisani??
Hata kwenye picha ulimwona akishiriki kwenye mkutano huo?Mkutano wa nchi EAC alihudhuria si ulifanyika kwa njia ya Video? labda hiyo ya kuto onekana kanisani labda ....
Mwenyekiti wetu je?Raisi wetu mpendwa Magufuli ni Raisi wetu tunayo haki ya kujua afya yake
Kumbe umeshamtambu kuwa ni Rais wa JMT si mlisema hamuutambui uchaguzi imekuwaje tena!?Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
Hii kauli niliwahi iona mwaka jana mwezi wa kumi na moja! Kulikoni?Tanzania kuwa nchi ya kwanza maziwa makuu kupata Rais mwanamke
Huwa mnafungwa minyororo nakusogezewa runinga au Speaker na kuanza kupewa taarifa?Mbona akiwa kanisani tunajulishwa kwa lazima?
Lakini siyo kwakumtaka kinafiki.Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
Kama jeshi la mtu mmoja mbona alikimbiaMkuu punguza hasira,lissu ni jeshi la mtu mmoja na mungu wake,kampeni za mwaka jana aliwapeleka puta, mpaka mlikua hamlali ,au umesahau kimbunga lissu 2020 , na mgejalipu hata Kama ya mseveni kuruhusu kura kuhesabiwa tu mlikua mmekwisha