Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Umeandika vyema kuwa tunajulishwa na si kwamba sisi ndio tunatoa shinikizo la kutaka kujulishwaMbona akiwa kanisani tunajulishwa kwa lazima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika vyema kuwa tunajulishwa na si kwamba sisi ndio tunatoa shinikizo la kutaka kujulishwaMbona akiwa kanisani tunajulishwa kwa lazima?
Katiba ipi hiyo inayomtaka Rais ataje mahali alipo na jambo alifanyalo???Ni takwa la kikatiba wala sio jambo la ihali
Sawa...Yeye hupenda hivyo!
Ni jambo lisilo na tija kitaifa...Upi mtazamo wako ,yafaa tujue au laa.
Ndio. Mabichwa maji kama nyinyi ndio mnaotuzuia tusiendelee katika nchi hii, jambo la uwazi kabisa bado unapinga kiujinga tu! Magufuli kama ni raisi wa nchi kila anapokwenda mahali taifa hujulishwa.Kwani ni lazima tujue kila mahali alipo?
Iweje iwe kusoa kuuliza alipo ikiwa yeye binafsi kwa kupitia official tweeter yake huwa anatujuza kila sunday aendapo kanisani? Ni kosa kutaka kujua kwa nini amashindwa kuhudhuria ibada ya jumapili mara mbili?Sawa...
Lakini iweje sisi wananchi tuanze lazimisha kutaka kujua 'misele' ya Rais...
Suala la yeye kwenda kanisani ni suala binafsi maana naye ni mwanadamu, vivyo hivyo kwa yeye kutokwenda huko...
Amesema wapi kuwa anamtambua Magufuli kuwa ni Rais. Amemwita rais amgufuli kwa sababu ndio cheo alichokuwa nacho, lakini haimaanishi kuwa anamtambua kama ni rais halali wa Tanzania.Siasa ni vichekesho... Lissu ameanza lini kutambua kwamba Magufuli ni Rais
Mbona tayari ameshachaguliwa kuwa Balozi wa Umoja wa Mashoga wa Africa ya KusiniNini maana ya kukimbia, mh. Lissu ni gold ya tz so chochote kile kionekacho si salama kwake tutamtunza sehemu KWA ajili ya mapambano yajayo,huyo ndo rais wako Kama haikua jana Basi ni kesho mkuu
Kwani nae huyu huwa kila akienda kanisani/msikitini huwahabarisha watu woote kwa kupitia tweeter? Kama ni ndio basi wanao follow tweets zake hawatakosea kuuliza pale siku yao ya desturi inapofika kuona post na kukawa kimya.Haya mkuu, wewe unaenda kanisani/msikitini mwaka mzima hakuna siku una miss
Pole sana kama haujui hilo, wewe unadhani kututajia kila siku kuwa rais yuko mahala flani na anafanya nini unafikiri uhamuzi wake wake? hata akiunwa watz tunatakiwa kujua anaumwa ugonjwa gani, ila wewe hakuna anayekulazmisha utaje mahali ulipo na una fanya nini, unaweza kwenda tu kama digidigi!!Katiba ipi hiyo inayomtaka Rais ataje mahali alipo na jambo alifanyalo???
Hajauliza kwa ubaya,ila nawashangaa mnaojifanya mna majibu,wakati hamjaulizwa nyie.Endeleeni kujigongaTatizo huwa mnakurupuka na mitaarifa ya hisia halafu kesho mnamkuta yupo ngangari nyuso zenu zinajaa aibu.
Huyu Rais ni mtumishi wako? Wenu? Itakuwa ajabu....Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
anafanyia ofisi za bunge KongwaNDUGAI yupo wapi? Mwezi sasa. Naona likizo ndefu
Wewe vipi, yaan Rais asijulikane yupo wapi?Kwani ni lazima tujue kila mahali alipo?
Tunamtambua Rais hata kama mchakato wa kumpata ulikuwa batili!
Ni Rais wetu hata kama si halali.
Kabisa! .Labda itakuwa mwisho wa Utopolonya.Haaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Mi naona bora tu Yanga imevunja benchi la ufundi na kumuondoa Cedric Kaze, amezingua sana mjue
Kwani we ndo una haki miliki za Rais? Acha jiwe mwenyewe atoe sauti huko aliko.Huyu rais ni mtumishi wako? Wenu? Itakuwa ajabu....