ikipendaroho
JF-Expert Member
- Jul 26, 2015
- 3,903
- 3,856
Historia kujirudia? Tukumbuke, Mwinyi Senior alikuwa Rais wa Zanzibar 1984. Na 1985 ni Rais wa JMT.Kama ambavyo Hussein Mwinyi alivyokiri Covid19 ipo na inaua. Akiwa waziri hakuthubutu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Historia kujirudia? Tukumbuke, Mwinyi Senior alikuwa Rais wa Zanzibar 1984. Na 1985 ni Rais wa JMT.Kama ambavyo Hussein Mwinyi alivyokiri Covid19 ipo na inaua. Akiwa waziri hakuthubutu...
Pamoja na risasi 16 Lissu ameithibitishia Dunia kuwa wale Watanzania majasiri waliolikomboa Bara la Afrika bado wapona mgejalipu hata Kama ya mseveni kuruhusu kura kuhesabiwa tu mlikua mmekwisha
What goes around comes around.Hivi hii ya kwenda kanisani si la mtu na Mungu wake??... I'm dissapointed
Hakutambua kwa kusema matokeo sio halaliKwani hatambui?
Lissu siyo Mtanzania ni MbelgijiAna haki ya kuhoji kama Mtanzania
Yule ni debe tupu!Pamoja na risasi 16 Lissu ameithibitishia Dunia kuwa wake Watanzania majasiri waliolikomboa Bara la Afrika bado wapo
Lissu kuulizia afya ya mtesi wake bila gubu ndio maana nasemaga Lissu ni natural born leader
Mkoa gani hiiMahutiuti
Mulimpiga risasi 40 na16 ndizo zilizomuingia sasa bado mkaona hafi mkamnyang'anya ubunge ati ili afe na njaa lakini wapi!Yule ni debe tupu!
Matokeo halali ni halali ikifanyika halali. Matokeo si halali ni halali ikifanyika haramu. Haramu huzaa si halali. Matokeo si halali hupingwa mahakamani. Kama hayakupingwa mahakamani kwa sababu yoyote ile anapatikana rais si halali. Yupo tunaye. Njiti naye mtoto kama wengine licha ya kuwahi. Huyu naye yu ikulu lakini tunajua si halali. Hata nawe pia si halali kuwa jf ya great thinkers ilhali we kidampa!Hakutambua kwa kusema matokeo sio halali
Umkumbushwa ujinga wakoHasira hizi ungegeuzia maisha yako.
tungekuwa na billionaire mweusi top ten TZ ambaye ni wewe.
Hebu nisome unielewe vizuri. Usirukie tu ku'quote' na kujibu kitu ambacho bado hujakielewa vizuri.Wewe unamsemea kama nani?
Kwani simnatangazaSiasa ni vichekesho, Lissu ameanza lini kutambua kwamba Magufuli ni Rais
Hiyo nguvu anatakiwa aielekeze kwenye umasikini alio nao.Umkumbushwa ujinga wako
Nimeanzisha mada, sijamsemeaHebu nisome unielewe vizuri. Usirukie tu ku'quote' na kujibu kitu ambacho bado hujakielewa vizuri.
Sasa unataka nikueleze mimi ni nani, itakusaidia kitu gani?
Sasa unataka na mimi nikuulize, wewe umeanzisha hii mada inayomhusu kama nani?