Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Yeye hupenda hivyo!
Sawa...

Lakini iweje sisi wananchi tuanze lazimisha kutaka kujua 'misele' ya Rais...

Suala la yeye kwenda kanisani ni suala binafsi maana naye ni mwanadamu, vivyo hivyo kwa yeye kutokwenda huko...
 
Kwani ni lazima tujue kila mahali alipo?
Ndio. Mabichwa maji kama nyinyi ndio mnaotuzuia tusiendelee katika nchi hii, jambo la uwazi kabisa bado unapinga kiujinga tu! Magufuli kama ni raisi wa nchi kila anapokwenda mahali taifa hujulishwa.

Yeye mwenyewe kwa kupitia tweeter zake daima analijulisha taifa alipokwenda, sasa kama kwa wiki mbili ameshindwa kuujulisha umma kuna kosa gani kuuliza cha mno?
 
Sawa...

Lakini iweje sisi wananchi tuanze lazimisha kutaka kujua 'misele' ya Rais...

Suala la yeye kwenda kanisani ni suala binafsi maana naye ni mwanadamu, vivyo hivyo kwa yeye kutokwenda huko...
Iweje iwe kusoa kuuliza alipo ikiwa yeye binafsi kwa kupitia official tweeter yake huwa anatujuza kila sunday aendapo kanisani? Ni kosa kutaka kujua kwa nini amashindwa kuhudhuria ibada ya jumapili mara mbili?

Pia Taifa lina haki kabisa kujua kiongozi wao alipo na anachokifanya huko aliko, hatukumchagua rais akae nyumbani na kula bata tu, ana majukumu ambayo anapaswa kuyatimiza kwa vitendo.
 
Siasa ni vichekesho... Lissu ameanza lini kutambua kwamba Magufuli ni Rais
Amesema wapi kuwa anamtambua Magufuli kuwa ni Rais. Amemwita rais amgufuli kwa sababu ndio cheo alichokuwa nacho, lakini haimaanishi kuwa anamtambua kama ni rais halali wa Tanzania.
 
Nini maana ya kukimbia, mh. Lissu ni gold ya tz so chochote kile kionekacho si salama kwake tutamtunza sehemu KWA ajili ya mapambano yajayo,huyo ndo rais wako Kama haikua jana Basi ni kesho mkuu
Mbona tayari ameshachaguliwa kuwa Balozi wa Umoja wa Mashoga wa Africa ya Kusini
 
Haya mkuu, wewe unaenda kanisani/msikitini mwaka mzima hakuna siku una miss
Kwani nae huyu huwa kila akienda kanisani/msikitini huwahabarisha watu woote kwa kupitia tweeter? Kama ni ndio basi wanao follow tweets zake hawatakosea kuuliza pale siku yao ya desturi inapofika kuona post na kukawa kimya.
 
Katiba ipi hiyo inayomtaka Rais ataje mahali alipo na jambo alifanyalo???
Pole sana kama haujui hilo, wewe unadhani kututajia kila siku kuwa rais yuko mahala flani na anafanya nini unafikiri uhamuzi wake wake? hata akiunwa watz tunatakiwa kujua anaumwa ugonjwa gani, ila wewe hakuna anayekulazmisha utaje mahali ulipo na una fanya nini, unaweza kwenda tu kama digidigi!!
 
Tatizo huwa mnakurupuka na mitaarifa ya hisia halafu kesho mnamkuta yupo ngangari nyuso zenu zinajaa aibu.
Hajauliza kwa ubaya,ila nawashangaa mnaojifanya mna majibu,wakati hamjaulizwa nyie.Endeleeni kujigonga
 
Rais akiwa kama mtumishi wetu tuna haki ya kujua alipo, yule ni mfanyakazi wa serikali na mshahara analipwa, hivyo asipoonekana ofisi lazima ni wajibu wetu kujuzwa alipo.
Huyu Rais ni mtumishi wako? Wenu? Itakuwa ajabu....
 
Ni baada ya wanazuoni Kanisa kutoa yahusuyo Covid-19 chukua tahadhari.
Akienda atahutubia nini? Kwani amezoeankjlazkmu kuoewankipaza Sauti!
 
Basi acha nimtete Magufuli kwa hili.

Wenye kanisa lao wameeleza wazi; wanataka watu wachukue tahadhari zote dhidi ya COVID-19, ikiwa ni pamoja na kuvaa BARAKOA.

Magufuli kaweka wazi, kufanya hivyo ni kukosa imani na mungu wake. Hawezi kamwe kuvaa barakoa na kufuata njia zingine zinazotambulika ili kuzuia/kupunguza maenezi ya ugonjwa huo, kutokana na imani aliyonayo kwa mungu wake..

Sasa Lissu na sisi wengine tunataka aende kanisa gani? Akilazimisha kwenda huko alikowapa semina, itamlazimu avae barakoa. ambayo kwake ni mwiko kabisa.


Hiyo ndiyo sababu haonekani kanisani Jumapili.
 
Mi naona bora tu Yanga imevunja benchi la ufundi na kumuondoa Cedric Kaze, amezingua sana mjue
 
Mi naona bora tu Yanga imevunja benchi la ufundi na kumuondoa Cedric Kaze, amezingua sana mjue
Kabisa! .Labda itakuwa mwisho wa Utopolonya.Haaaaa[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Back
Top Bottom