Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Lissu: Rais Magufuli haonekani kanisani wala mitaani, Msemaji wa Serikali atujuze

Tu
Lissu kashakuwa ni mpumbavu na mpayukaji asiye maana!!

Kwani ni Lazima kila wiki mtu uende kanisani? kumwona kila jumapili akihubiri makanisani nilikuwa lazima hivyo wapumbavu tukaona ni vzr nimcheki au tutor taarifa hatumwoni mwenzetu kwenye font gape
 
Siasa ni vichekesho, Lissu ameanza lini kutambua kwamba Magufuli ni Rais
Na mimi hapo ndo viongozi wangu wa upinzani wanavyokwaza kwa kutokuwa na msimamo thabiti. Mimi ninapoona matamko yao wantaja jina rais huwa naacha hata kusikiliza wanachoongea.
 
Wapinzani msifikirie kama akifariki utafanywa uchaguzi mtashinda,inaonekana mmekalia kifisifisi, tuseme ukweli kama ilivyo Zanzibar upinzani unashinda hata wakiweka tofali ndio hivyohivyo huku Tanganyika CCM inashinda hata wakiweka dodoki.
 
Lolita linawezekana
Tuwaombe Viongozi wa dini wampe msamaha ..

na tuamtake anayeongoza propaganda za kuwachafua viongozi wa dini waache ....lazima waelewe pamoja na wananchi wengi waliokufa ....kutokana na kazi zao za kichungaji /sheikh viongozi wetu wanaenda kuwaombea wagonjwa , wanaendesha mazishi na hii imefanya wengi katika siku za karibuni wapate maambukizi na wamekufa ... ni kosa kubwa mno na dhambi kuanza kuwashambulia pale wanapotoa tahadhari ya ugonjwa huu na kutolea mfano wao wenyewe walivyoathirika ...sio busara kuanza kuwatukana binafsi ....nani alisema wao ni Miungu na watakatifu na hata kwa madhaifu yao muwaondolee haki ya kutoa misimamo yao ya kiimani na kichungaji
 
Back
Top Bottom