Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Hii issue ya uteuzi nadhani waliongea huko brussels sio bure.
 
Wana CCM wao wanapenda kuwapa wapinzani teuzi ili wasisemwe kwa maovu yao wanayofanya. Nchi haiendelei viongozi wetu wanaiba tu kila kukicha na kusahau maendeleo. Wapinzani wakitaka kuongea wanapigiwa simu kuombwa waache kuongea watapewa vyeo ili wanyamaze. Huu ni utoto sana, viongozi wa CCM wako incompetent ile mbaya.
 
Wewe unapakuliwa kinyesi! Usinizoee mimi situmii huo uchafu, kauze mbele mshenzi!
Anenayo mtu ndiyo yaliyomjaa moyoni na huyaelezea matendo atendayo gizani pasi na kutambua nayo huitwa Toba ya kweli!
Bahati mbaya mimi siyo kiongozi wa kiroho ningekuongoza kwenye sala ya Toba!
Hakuna anayekushangaa Kwa kuelezea wasifu wako na uzoefu wako humu na ndio maana unashinda mitaa ya Lumumba! Ipo siku nitakuchangia pesa za kushonwa huo mnduku baada ya kupasuliwa na hao wateja wako! Bei ya huduma yako haijapanda Kama ya mafuta?
 
Aibu dume zima unakuwa jamvi la mabasha? Utaoza huko nyuma mshenzi wee, ndugu zako wamepata hasara na unawatia simanzi hata kabla hujafa! Mbwa wee!
 
Polepole ndugu! Hii lugha Yako inakufunua nguo na kukubakisha uchi wa akili! Unaonekana mpumbavu mno mbele ya jamii ya wastaarabu waliomo humu NAMI nikiwa mmojawapo. Kama hii ndio lugha Yako ya kujenga hoja humu basi hufai kwenye jukwaa hili la wenye busara na hekima! Hebu Rudi kule fb ulikotoka kwani ndio sehemu ya kuhorojeka utakavyo! Nakuombea ban Kwa mods Kwa kutumia aina hiyo ya lugha kuwasiliana kwani unaharibu sifa nzuri za jf ambao lengo lao ni kuwasiliana Kwa staha!
Pole Sana na nakusamehe kabla ya mods kukuchukulia hatua za kinidhamu kwani huna adabu!
 
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Kwa hiyo siku chama chake kikishika madaraka na mamlaka ya serikali yeye atakiacha ili awe mpinzani?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
 
Polepole ndugu! Hii lugha Yako inakufunua nguo na kukubakisha uchi wa akili! Unaonekana mpumbavu mno mbele ya jamii ya wastaarabu waliomo humu NAMI nikiwa mmojawapo. Kama hii ndio lugha Yako ya kujenga hoja humu basi hufai kwenye jukwaa hili la wenye busara na hekima! Hebu Rudi kule fb ulikotoka kwani ndio sehemu ya kuhorojeka utakavyo! Nakuombea ban Kwa mods Kwa kutumia aina hiyo ya lugha kuwasiliana kwani unaharibu sifa nzuri za jf ambao lengo lao ni kuwasiliana Kwa staha!
Pole Sana na nakusamehe kabla ya mods kukuchukulia hatua za kinidhamu kwani huna adabu!
Pumbavu!
 
Ni kweli kabisa, wanahitajika watu kama akina Prof Assad wengi ambao hufanya kazi zao kwa kuzingatia misingi ya kazi bila kuteteleka.
ararudishwa soon usijali yuko huko kwao unguja anapasha misuli
 
Kwa hiyo siku chama chake kikishika madaraka na mamlaka ya serikali yeye atakiacha ili awe mpinzani?

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Siyo hivyo bali ataungana na wenzake waliokuwa wanapigania haki ili kuidumisha. Kwa sasa adui yake ni CCM!
 
Huna hata tusi moja jipya nikupongeze? Utoto pamoja na elimu duni iliyo nayo ndio chanzo Cha kuandika kifedhuli humu! Kaelimike kwanza ndio urudi hapa! Na siyo kwamba sijui kumproke mpuuzi Kama wewe, la! Ni suala la hekima na busara pamoja na heshima niliyo nayo hapa jf na Kwa jamii ya wasomi ndio inanibana. Vinginevyo pasingetosha na ungebadili hiyo avatar kunikimbia! Itoshe kukufunda kuwa uwezo wako wa kumuudhi mweñye akili timamu ni mdogo Sana! Kakojoe ulale Sasa, au mme wa dadako hajarudi? Maana wewe ni humfungulia mlango huyo kidume anayewaweka mjini wewe na dadako! Usiache kumpokea Kwa bashasha Mtakuja talikiwa na vile huna ujanja tukuoa mjini hapa!
😂😂😂 Busara na heshima peleka kwa basha wako!
 
Anasema hawezi kuwa serikalini ili awe guru. Sawa. Je, angelishinda "urais" mwaka 2020 angegoma kuwa Rais ili awe huru? Ni mawazo ya mtu mpumbavu na asiye na akili kama Lissu na wewe ndio mnaoweza kusema hivyo.
Swali la kipumbavu na kijinga! Sasa kama aligombea ina maana alikuwa anataka hiyo nafasi kwa hiyo wewe ndiye mpumbavu huelewi nini umeuliza!

Endelea kujifunza!
 
Back
Top Bottom