Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

Lissu: Rais Samia akiniteua katika Serikali yake atakuwa hanipendi

Kitila Mkumbo alimshauri Hayati Dr Magufuli aache kuteua Wana taaluma wa Vyuo vikuu ili wabaki kufundisha vyuoni…alipoteuliwa Yeye akitokea Udsm akashukuru sana na hata zile tuhuma zake za kufoji cheti Makonda zikaisha
Ulitaka akatae fursa?
 
Unataka wapambane vipi mkuu, si unaona badala ya kupambana na CCM wanapambana na polisi? Watapitia wapi hadi wawafikie CCM wakati kuna mitutu ya bunduki na jela na mahakama, n.k., wanavyotakiwa kupambana navyo kabla ya kuwafikia CCM ili wapambane nao ana kwa ana. Au wewe huko uliko huyaoni hayo mkuu?

Sasa kuhusu hayo "yajayo yanayofurahisha", binafsi hapo sikuelewi unamaanisha kitu gani.
Sawa.
 
EeenHeee. Una maana mama ana hati miliki au siyo?

Bila shaka unatania.

Sasa hivi CCM ilipofikia, huenda hata TLP ya Mrema ikawa nafuu wakipewa nchi watawale. Sidhani kuwa kuna chama kilichodidimia zaidi ya CCM wakati huu.
Ukitaka kujua, wewe washauri tu wasiwahusishe polisi katika kulinda maslahi yao. Hapo ndipo utakapoelewa ninachosema hapa.

Vyama visivyo na hela vya kazi gani mkuu 😁 nakumbuka kampeni ya tundu lissu wilaya ya moja ivi ndanii ya mkoa wa Shinyanga, ni aibu musafara wa gari mbili cjui 3 😁 .

Chama kimewashinda acha mama awape kazi wahudumie familia zao,,,,
 
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Hili swali angeulizwa Zitto ninayo imani angejibu kinyume chaa Lisu
 
Ukisoma kwa umakini hiyo ni kuwa LISSU anasema hatokataa teuzi japo anahisi atakuwa ameshajifunga ktk kile anachoita ukosoaji wa kupingapinga kila kitu🤭

kazi iendelee. Karibu Tanzania Lissu tujenge taifa chini ya uongozi thabiti wa Mh SAMIA SULUHU HASSANI
 
Easy to say so. Lakini akishateuliwa atakwambia katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Nani asiyependa madaraka?
 
Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.

Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Tundu lissu kwisha nadhan sasa anasubiri huo uteuzi arudi tanzania au awe balozi huko nje amewakilishe mama, hayo majibu kwamba atakuwa hampendi maana yake ni kuzibaziba kile alichokuwa akikiabudu dhidi ya ccm lakini ukweli ni kwamba tanzania upinzani umekufa kabisa
 
Easy to say so. Lakini akishateuliwa atakwambia katika siasa hakuna rafiki wala adui wa kudumu. Nani asiyependa madaraka?
EeeenHeeee!
Hata sijui kama unakielewa ulichoandika hapa!

Kwa maana nyingine ni kwamba hata wale walionuia kumwondoa roho kwa kummiminia risasi zaidi ya 30, hawawezi kuwa maadui zake wa kudumu!

Hii misemo mnayoitumia bila ya kuelewa maana yake inaonyesha uduni wa uelewa wenu. Mnaitumia tu, mradi mlisikia wengine wakiisema!
 
14 March 2022

Tundu Lissu - Tumwambie mh. Rais bila uoga mambo yanayohusu katiba mpya na haki za binadamu

Mkutano wa wana diaspora online 14 March 2022 , huku wageni waalikwa wachangiaji hoja wakiwemo Tundu Lissu , Helen Kijo-Bisima, Ananeliya Nkya.
  • Amri haramu
  • Kanuni kutungwa wakati kuna sheria
  • Katazo la mikutano ya vyama vya siasa
  • Baraza Kikosi Kazi baada ya Wadau wa Vyama vya Siasa waliokutana Dodoma kutaka : kuangalia katiba mpya, Tume Huru ya Uchaguzi, Utawala bora, Haki za Binadamu, Uhuru wa Vyama vya Siasa kufanya shughuli zao bila katazo n.k

Source : DARMPYA TV
 
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!

Kwamba atakuwa amezibwa akisema tu,, kibarua kinaota nyasi
 
Kumbe unafanya ligi? Pole!
Pole wewe uliyelianzisha na Sasa linakushinda kuliendeleza! Uchawa ni mbinu ya kizamani Sana, tumia polepole style ya kuinanga serikali ili wakuone kwenye vijiteuzi vya udas na ukuu wa wilaya!
Wenzako kina MWITA na mkumbo wametupwa kulena wanaitamani Sana kurejea shinani ila ndio hivyo wamegeuka kuwa madekio! Wakudadavua, unafeli wapi muunga juhudi mbobezi?
 
Kumbe naongea kichaa mpumbavu!

Shit hole!
 
Kumbe naongea kichaa mpumbavu!

Shit hole!
Hayo ndio unayoyajua Kwa kina? Kwa taarifa Yako huna matusi mapya zaidi ya kucopy na kupaste ya wajuba! Umefarijika Sana siyo?
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na pesa! Mrembo wa aina Yako hatukani kwani atakosa mchumba! Utaachika Tena usipochunga! Bladifakeni mchumia tumbo mkubwa! Kajipendeke makaburi ya chato nikukute huko ukimlilia mwendazake!
 
Wewe unapakuliwa kinyesi! Usinizoee mimi situmii huo uchafu, kauze mbele mshenzi!
 
Back
Top Bottom