Gwappo Mwakatobe
JF-Expert Member
- Nov 22, 2019
- 1,730
- 2,230
Hongera kwa uchambuzi mzuri na wenye mantiki.Tamko hilo linaweza kuwa na pande mbili. Upande mmoja unaweza kuwa unamwonyesha kama mtu asiyeweza kushawishi kwa kujenga hoja bali anataka kupambana tu. mtu akiwa ndani ya system an uwezo mkubwa sana wa kufanya mambo fulani yatekelzwe kuliko aliye nje.
Upande wa pili unaweza kumwonyesha kama mtu anyetaka naye afikiriwe na mama kwenye nafasi za kuteuliwa ila anaanza kwa kusema sizitaki mbichi hizi.
Msingi mmoja wa busara ni kutokujibu maswali hypothetical.