Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Tundu Lissu ni great politician wa upinzani katika kizazi hiki, na historia itamuenzi na kumkumbuka milele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utendaji wa WanaCHADEMA chini ya Rais wa CCM?Mmmh yuko sure atakataa🤣🤣🤣
teuzi ni level nyingine my friend.
Mama Samia natamani sana awape vyeo tuone utendaji wenu.
Hata Samia hawezi kufikiria hilo; amteue Lissu katika serikali yake? Hajipendi?Unajuaje ndani ya moyo wake,je siku akipewa teuzi akakubali utafuta hii comment?
Wanasiasa usiwaamini sana.
Pole. Chama kinapendekeza, rais anateua na kuapisha. Na hoja yake TL ni kuzibwa mdomo na si uteuzi endapo umesoma vizuri maudhui.Hao uliowataja hawakuteuliwa na Rais bali chama chao!
Acha kumlinganisha Lissu na watu waliofika bei!Kitila Mkumbo alimshauri Hayati Dr Magufuli aache kuteua Wana taaluma wa Vyuo vikuu ili wabaki kufundisha vyuoni…alipoteuliwa Yeye akitokea Udsm akashukuru sana na hata zile tuhuma zake za kufoji cheti Makonda zikaisha
Have you?Join the chain🔗⛓️
Shuleni ulisomea ujinga? Rais ana- endorse matakwa ya chama na kama hataki atatoa sababu ambazo lazima zikubaliwe na chama vinginevyo kutakuwa na mgogoro wa kikatiba.Pole. Chama kinapendekeza, rais anateua na kuapisha. Na hoja yake TL ni kuzibwa mdomo na si uteuzi endapo umesoma vizuri maudhui.
Yeah ndio wanataka hivyo,mtoto akililia wembe mpe.Utendaji wa WanaCHADEMA chini ya Rais wa CCM?
Hujui tu vile wanaota teuzi,anaweza kuwapa Mkuu.Hata Samia hawezi kufikiria hilo; amteue Lissu katika serikali yake? Hajipendi?
Siyo kweli ukiwa ndani ndio muasi, na kumbuka kiapo Cha mawaziri sitatoa Siri za baraza la mawaziri. Au mfano mzuri ni Mrema alipotimuliwa na Mzee Mwinyi kabla ya kutimkia NCCR.Shujaa ni anaepambana ndani ya jeshi
Ukiwa nje kuitwa muasi ni rahisi
Acha kumlinganisha Lissu na watu waliofika bei!
Wewe Tundu Lissu hufai, unaropoka ropoka tu. Suala la Ngorongoro unalichukulia juu juu. Kumbe hata urais ulikuwa hufai, nafuu ulishindwa maana nchi ingeongozwa mtu wa ajabu ajabu yaani haelewi hata mambo ya UNESCO, yaani unataka Ngorongoro iharibike, kwani wamasai wakienda Longido au Karatu kuna shida gani? Hatungeweza kuwa na rais wa ovyo kama Lissu, ana mawazo mabovu ya ki-activitism. Hafai Lissu, bora Mbowe.Akihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Mtazamo dhaifu mno kutoka Kwa naibu waziri mstaafu! Haiyumkini ulizaliwa ili uwe mtumwa na mtwana! Endelea kujipendekeza na sahau teuzi!Angekuwa anazihitaji angezipata siku nyingi!
Tena Lissu ni maarufu kuliko hata PMAkihojiwa na mtangazaji wa Star Tv bwana Odemba, Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mh. Tundu Lissu amesema endapo Rais Samia atamteua kushika nafasi yoyote katika serikali basi atajua kuwa hampendi.
Kwa kifupi Tundu Lissu amesema hawezi kukubali uteuzi wowote ndani ya serikali kwa sababu atakuwa amezibwa mdomo kwa kutoa mawazo mbadala. Amesema yeye hawezi kuwa ndani ya serikali ili abaki huru kusema mazuri na mabaya ya serikali!
Wewe dada una matatizo makubwa snWewe Tundu Lissu hufai, unaropoka ropoka tu. Suala la Ngorongoro unalichukulia juu juu. Kumbe hata urais ulikuwa hufai, nafuu ulishindwa maana nchi ingeongozwa mtu wa ajabu ajabu yaani haelewi hata mambo ya UNESCO, yaani unataka Ngorongoro iharibike, kwani wamasai wakienda Longido au Karatu kuna shida gani? Hatungeweza kuwa na rais wa ovyo kama Lissu, ana mawazo mabovu ya ki-activitism. Hafai Lissu, bora Mbowe.
Tena enzi ya dikteta angeshapata haraka snAngekuwa anazihitaji angezipata siku nyingi!
Upo sahihiSiyo kila mtu anashobokea ajira za serikali! Wengi wanaotaka uteuzi ni wake private sector inawasulubu au wanataka kufanya ufisadi au kulinda ufisadi wao!
Naamini wewe ni mstaarabu haufanani kabisa na wenye kutukana hata kama umesoma kuwazidi. Naheshimu maoni yako na utu wako hata kama tunatofautiana.Shuleni ulisomea ujinga? Rais ana- endorse matakwa ya chama na kama hataki atatoa sababu ambazo lazima zikubaliwe na chama vinginevyo kutakuwa na mgogoro wa kikatiba.