Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi. Mifano ni hii hapa chini

Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi. Mifano ni hii hapa chini

Kwahiyo mmeamua kumtumia Lisu kama kete ya mwisho kwenye mchakato wa katiba mpya!!?
Tumieni kete nyingine coz mbowe kaungana na wahuni na watatumia dola kushinda uenyekiti ndani ya chadema!!
Hata akisaidiwa na Abduli na genge lao la Kizimkazi lakini amini hili Mbowe hatomaliza muhula wake na Samia akitaka kudhalilika aendelee kushindana na waliio nyuma Lissu inshort kama ilivyokuwa kwa JPM ,ATL ni kete muhimu kwa the state.
 
Tayari tumepata msimamo wa John Heche,bado Lema ila Lema kwa kuwa Mbowe ni mchaga mwenzake atakuwa upande wa Mbowe
 
nadhani itoshe tu kusema,
Ndugu Wenje ameeleza ukweli bayana wa huyo kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi,

Nadhani wanachama wa Chadema katika ujumla wao wanafaa kuchukua maelezo ya Wenje katika uzito unaostahili.

Kibaraka ni muongo.Full Stop.🐒
Mawazo Mgando hayo achana na fikra mbovu
 
1. Alimkaba Magufuli kuhusu makinikia tukadanganywa na hela ya Noah kwa kila mbongo
2. Alimkaba Kila mla Rushwa wa Escrow
3. Kawakaba wabunge wenzake
4. Sasa yuko na Abdul na wenje
5. Viti maalumu CHADEMA wanapata baada ya kulamba asali Fulani
6. Mama Samia kashindwa nchi
7. Burungutu la Pesa kwa mwenda zakeView attachment 3189374
Welcome back commander Britanicca
 
Mawazo Mgando hayo achana na fikra mbovu
mawazo tulivu bongo kali mbona umebaki na makasiriko tu gentleaman?

jitahidi walau mwaka ujao ukiwa unareply hoja ya mdau,
unakuja na mawazo mapya na fikra mbadala na bora zaidi ya wazo la mdau na sio makasiriko, okey? :pedroP:
 
Back
Top Bottom