Lissu sio muongo ni mkweli, muadilifu na muwazi. Mifano ni hii hapa chini

Kwahiyo mmeamua kumtumia Lisu kama kete ya mwisho kwenye mchakato wa katiba mpya!!?
Tumieni kete nyingine coz mbowe kaungana na wahuni na watatumia dola kushinda uenyekiti ndani ya chadema!!
Hata akisaidiwa na Abduli na genge lao la Kizimkazi lakini amini hili Mbowe hatomaliza muhula wake na Samia akitaka kudhalilika aendelee kushindana na waliio nyuma Lissu inshort kama ilivyokuwa kwa JPM ,ATL ni kete muhimu kwa the state.
 
Tayari tumepata msimamo wa John Heche,bado Lema ila Lema kwa kuwa Mbowe ni mchaga mwenzake atakuwa upande wa Mbowe
 
Mawazo Mgando hayo achana na fikra mbovu
 
Welcome back commander Britanicca
 
Mawazo Mgando hayo achana na fikra mbovu
mawazo tulivu bongo kali mbona umebaki na makasiriko tu gentleaman?

jitahidi walau mwaka ujao ukiwa unareply hoja ya mdau,
unakuja na mawazo mapya na fikra mbadala na bora zaidi ya wazo la mdau na sio makasiriko, okey?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…