Lissu: Tukubali kukosolewa, tuukatae u CCM

Ni nani mwenye maneno yake hapa Tanzania?! aliyatengeneza kiwanda gani?

Nataka huo upeo wako mkubwa ndio unipe majibu ya hilo swali langu hapo juu.
 
Juzi niliona clip Lissu akiwahutubia watoto wa shule kwa kiingereza kibovu na alikuwa anaongea maneno ya kipuuzi sidhani hata hao wazungu wali enjoy, pamoja na mc kumpamba kwelikweli
Weka hiyo clip, na kiingereza Cha Lisu sio kibovu maana tumekuwa tukimsikia mara kibao. Labda kama ulitaka awe na tone kama ya Bidden.
 
Weka hiyo clip, na kiingereza Cha Lisu sio kibovu maana tumekuwa tukimsikia mara kibao. Labda kama ulitaka awe na tone kama ya Bidden.
Tatizo la wabongo ni kutaka kuongea kama wazungu kumbe ndo anaharibu
 
Tatizo la wabongo ni kutaka kuongea kama wazungu kumbe ndo anaharibu
Sawa, lakini sio ubovu wa kiingereza. Labda usema alitaka kuiga tone ya wazungu. Hata hapa Dar tunaona watu toka mikoani wakitaka kuiga accent ya watu wa Dar, lakini unaona kabisa Bado ana accent ya kilugha hata kama hakosei sentensi zake.
 
Juzi niliona clip Lissu akiwahutubia watoto wa shule kwa kiingereza kibovu na alikuwa anaongea maneno ya kipuuzi sidhani hata hao wazungu wali enjoy, pamoja na mc kumpamba kwelikweli

Kwani wewe ni bashite, nduguye wa damu au katika chama?

Una busara sana
 
Hivi Lissu anarejea lini kuja kukusanya michango kwenye makangamano yake ya siasa?
 
Lissu ni Mhe?? Wewe jamaaa goigoi sana

Mheshimiwa kwa lipi?

Ondoka hapo ufipa utakufa na Sembe muulize mwenzio chid benz
 
Una busara sana

Kwenye mapambano watu wa aina zote wapo.

"Zitto anasema hawezi kuwaachia nguruwe shamba."

Lissu anayo busara ya kutosha kuyaleta makundi yote pamoja. Hatuhitaji umaarufu. Tunahitaji katiba mpya na au chaguzi zenye kuaminika.

Anayo moral authority ya kumkemea yeyote katika chama na akashika adabu yake.
 
Huyu anayewaita CCM Nguruwe hahahahah
 
Chadema wamepotoka sana
Shida wajuaji wengi… kujidai na kizungu mingi mingi wakaona wengine wote wajinga..

Kuwatukania akina shangazi sababu ya makosa ya wazazi sio poa..

Yesu alizaliwa kama myahudi lakini aliwakana kuwaambia ‘sikuja kutengua torati yenu bali…..’ Tujifunze kupitia maandiko

Tundu Lissu tu anaeleweka wengine wote ni mizinguo jazz band.
Lissu live long bro!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…