denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Ni nani mwenye maneno yake hapa Tanzania?! aliyatengeneza kiwanda gani?Jinsi ulivyouliza tu unaonesha upo finyu sana kisiasa na kisomi.
Huwezi mwanasiasa "msomi" ukasimama kuongea maneno yaliyokwisha semwa na mwengine, juzi tu, bila kumpa stahiki yake.
Japo angesema tu " Fatma Karume alisema ukweli aliposema chawa wanatokana na uchafu" halafu akaendelea kusherehesha.
Nataka huo upeo wako mkubwa ndio unipe majibu ya hilo swali langu hapo juu.