Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Consultant

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2008
Posts
11,653
Reaction score
21,307
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.


D91FBFBE-7E5F-47F3-93EF-DD57F5A8DF7C.jpeg
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Kwani hapo kalengwa Magu tu?
 
Kibano kwa baadhi ya watu kina madhara yoyote kwa walengwa?
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake?
Targeted vikwazo ni nzuri.

Magufuli labda ana mali alizopiga huko nyuma. Kumbuka huyu alikuwa senior minister kwa miaka mingi tu na sio clean 100%. Travel ban unaweza kupigwa wewe na ukoo wako wote
 
Hivi huyu bwana nani alimdanganya kama anaweza kuwa Rais wa nchi hii! Mbona anateseka hivi huyu kibaraka! Alafu bado kuna wafuasi wake humu apo wanamuona kaongea la maana!Kumbe Upupu tu Nchi hii kamwe asitegemee na wapinzani wasitegemee kabisa kuwekewa vikwazo wanavyo vipigia miluzi!.
 
Back
Top Bottom