mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,509
- 1,405
Kisa kakosa urais
watu kama wewe ni hatari kwa maisha yako na ya watanzania wenzako!
Kisa kakosa urais
Kwa lipi sasa!! Kwa kuusema ukweli!!watu kama wewe ni hatari kwa maisha yako na ya watanzania wenzako!
Aida khenan ni mbunge wa chadema?Hivi wewe una akili timamu? Unafahamu kilichotokea na kinachoendelea? Ikiwa chama kimeshatowa tamko la kutoitambua serikali iliyo madarakani, itakuwaje tena watowe wabunge katika chama chao waende kufanya kazi na serikali ambayo hawaitambui? huoni conflict yeyote hapo? Hivi inakuingia akilini kuwa mtu unaeamini amekuibia ngombe wako anakualika shuhuli ukale na wewe unakwenda kwa sababu ya mlo tu ingawa unajua kitoweo ni ngombe wako aloibiwa?
Amka wewe!!!!
Inawezekana ikiwa tu wapiga Pini ni Kutokea Ufipa!!Inatakiwa misaada yote ifutiliwe mbali na vikwazo viwekwe kwa nchi nzima, hapo ndio itakuwa mwisho wa genge la "washereheshaji" wa Lumumba na waimba mapambio wote. Ni lazima tulie sote sasa.
@Kijana wa jana pumba kabisa.Nchi yote ibanwe ili wananchi wapate akili pia
Tujipe miaka mitano halafu utaona Tanzania inakokwenda na kutapatapa. Mara nyingi nchi huchukua baina ya miaka minne au mitano kuanza kuona machungu hasa ya vikwazo vya uchumi. Hii ndio sababu magu hana wasiwasi kwa sababu anajua makali yakianza yeye atakuwa ameshaondoka na haitokuwa rahisi kwa mwananchi wa kawaida kumlaumu yeye. Tanzania tujitayarishe kuwa Zimbabwe 2.0. Nimetembelea mara nyingi Zimbabwe kabla Tonny Blair kuanzisha kampeni ya kuiwekea vikwazo na nimeshuhudia kwa macho yangu namna nchi ilivyoanguka taratibu taratibu kuanzia mwaka wa tatu toka kuwekewa vikwazo.Mfaa maji hakosi kutapatapa.
Unawaita mabeberu halafu bado unapenda pesa zao? Mwehu kweli wewe.Inawezekana ikiwa tu wapiga Pini ni Kutokea Ufipa!!
Kaa utulie.Hujui kitu
Point yako ni nini hasa?Aida khenan ni mbunge wa chadema?
Ukweli? Hivi hata unajua nini maana ya neno ukweli?Kwa lipi sasa!! Kwa kuusema ukweli!!
si mmemuweka Mzee wa kufufua misukule bado hamjaridhika na yeye, Halima wa nini tena!! Yale ma kura yaliyokuwa yanazagaa mtaani yaliyotikiwa vema yanatosha kuwaona nyie ni wanyanganyi wa haki.Halima mdee ingieni bungeni muibadirishe hii CDM ya mitandaoni tumeichoka
Unawaita mabeberu halafu bado unapenda na kuzitamani pesa zao? Huko Lumumba kumejaa wendawazimu tu.Inawezekana ikiwa tu wapiga Pini ni Kutokea Ufipa!!
Hujui kuwa maandamano nchi hii hayaruhusiwi?? Au wewe mwenzetu umekuja jana???Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu