Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Kama kweli CDM imeamua kupeleka wabunge wa viti maalum aelewe ivyo vita ni vya peke yake kwa upande wa chama au ajiunge ACT wazalendo na wenyewe hawapo mbali kuchukua nafasi ya makamu wa kwanza huko Zanzibar.

Soon atajikuta anaonekana kama mwe.... iwapo kweli CDM imepeleka wabunge wa viti maalum.
 
Ka Tundo Lisou, kana kiashiria chote cha udikiteta kumshinda hata nduli, sema hakajapata nafasi tu ya kukunjua makucha yake!!

Kamejifichia kwenye Sheria!!!
Mtakuja kuniambia, Kwanza siku kawe ndio karaisi, katapiga watu lisasi kale!!

Mtakuja kuniambia!!!

Si Kwa chuki hizo
 
Hivyo ndo alivyotakiwa kufanya sio kuwahusisha waTz wote kwenye bifu lake na jiwe, all in all kwenye hilo la vikwazo vya kusafiri kwa Jiwe Kama atasikilizwa itakuwa Kama wamempiga teke chura
 
Mna evidence yoyote zaidi ya zile kura zenu feki mlizotengeneza na kuziita ni za CCM?
Do you really believe zile kura zilizookotwa mtaani zilitengenezwa na Wapinzani? Unazi wa chama usikutoe ufahamu, GT!
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu

Hivi wewe una akili timamu? Unafahamu kilichotokea na kinachoendelea? Ikiwa chama kimeshatowa tamko la kutoitambua serikali iliyo madarakani, itakuwaje tena watowe wabunge katika chama chao waende kufanya kazi na serikali ambayo hawaitambui? huoni conflict yeyote hapo? Hivi inakuingia akilini kuwa mtu unaeamini amekuibia ngombe wako anakualika shuhuli ukale na wewe unakwenda kwa sababu ya mlo tu ingawa unajua kitoweo ni ngombe wako aloibiwa?

Amka wewe!!!!
 
Huo ushahidI wa Wazi haupoo ni Mambo ya kusadikika tuu, waliiba kura waliiba kura wewe unao ushahidi kwamba waliiba kura
Magufuri alishinda 84% hatakama ungeenda kuhesabu wewe kura
Ninaongelea CCM kuzoa viti vya ubunge kwa 99%. Ushahidi wa kimazingira upo wala hatuhitaji kuanza discussion hii upya

Hata kama Magufuli angeshinda, sio kwa 84%.
 
Tundu Lissu arudi nyumbani ndio aanze kujimwambafy Watanzania siyo wajinga!
Wewe ndiye ulikuwa unalalamika jana kuwa kwa nini BBC swahili wanakatisha matangazo linapokuja suala la kuongelea ulawiti wa haki za binadamu Tanzania?[emoji1782]
 
Do you really believe zile kura zilizookotwa mtaani zilitengenezwa na Wapinzani? Unazi wa chama usikutoe ufahamu, GT!
Kwa nini nisiamini hicho? Wewe umeona kuna mtu yeyote walimkamata kuwa ndiye muhusika wa hizo kura feki zaidi ya kuonyeshwa tu zikichomwa? Na iweje hawakuchukua sheria stahiki ili huyo aliyeshikwa na kura feki apate haki yake kisheria? Acheni utoto utoto
 
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targetted kwa baadhi ya watu tu.

View attachment 1633684
Afu eti wapiga kura tumpe uraisi, labda aendelee na uraisi wake wa twita
 
Kwa nini nisiamini hicho? Wewe umeona kuna mtu yeyote walimkamata kuwa ndiye muhusika wa hizo kura feki zaidi ya kuonyeshwa tu zikichomwa? Na iweje hawakuchukua sheria stahiki ili huyo aliyeshikwa na kura feki apate haki yake kisheria? Acheni utoto utoto
Chadema walitengeneza Mbinu za kitoto Sana, mbaya kabisa, wao ndio walikuwa wakionekana wamejipiga picha na kutuma Mitandao eti wamekamata Kura bandia,

Ajabu aliyekamatwa nazo hayupo na hajulikani!

Tukisema kwamba Mpumbavu alitengeneza Mbinu za kipumbavu watanuna siyo?
 
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targetted kwa baadhi ya watu tu.

View attachment 1633684
Mfaa maji hakosi kutapatapa.
 
Back
Top Bottom