Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,653
- 21,307
TAL ni muoga!Yuko sahihi kabisa.
Kwani hapo kalengwa Magu tu?... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Targeted vikwazo ni nzuri.... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake?
Very good ideaHalima mdee ingieni bungeni muibadirishe hii CDM ya mitandaoni tumeichoka
Yeye anajua hana hasara yoyote mkuu hakuna mwana siasa mwenye uchungu na wewe wote wanajali shibe zao.Tabia za ubinafsi ni mbaya sana...kukosa kwako urais unataka watanzania wote Wateseke