Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Aida khenan ni mbunge wa chadema?
 
Si Magufuli Wala washirika wake watakaopigwa Pini!

Labda wapiga Pini ikiwa ni baba zake Tundo
 
Inatakiwa misaada yote ifutiliwe mbali na vikwazo viwekwe kwa nchi nzima, hapo ndio itakuwa mwisho wa genge la "washereheshaji" wa Lumumba na waimba mapambio wote. Ni lazima tulie sote sasa.
 
Inatakiwa misaada yote ifutiliwe mbali na vikwazo viwekwe kwa nchi nzima, hapo ndio itakuwa mwisho wa genge la "washereheshaji" wa Lumumba na waimba mapambio wote. Ni lazima tulie sote sasa.
Inawezekana ikiwa tu wapiga Pini ni Kutokea Ufipa!!
 
Mfaa maji hakosi kutapatapa.
Tujipe miaka mitano halafu utaona Tanzania inakokwenda na kutapatapa. Mara nyingi nchi huchukua baina ya miaka minne au mitano kuanza kuona machungu hasa ya vikwazo vya uchumi. Hii ndio sababu magu hana wasiwasi kwa sababu anajua makali yakianza yeye atakuwa ameshaondoka na haitokuwa rahisi kwa mwananchi wa kawaida kumlaumu yeye. Tanzania tujitayarishe kuwa Zimbabwe 2.0. Nimetembelea mara nyingi Zimbabwe kabla Tonny Blair kuanzisha kampeni ya kuiwekea vikwazo na nimeshuhudia kwa macho yangu namna nchi ilivyoanguka taratibu taratibu kuanzia mwaka wa tatu toka kuwekewa vikwazo.
 
Kwa haya yanayofanyika nchini kwa sasa, naunga mkono hoja!!
 
Halima mdee ingieni bungeni muibadirishe hii CDM ya mitandaoni tumeichoka
si mmemuweka Mzee wa kufufua misukule bado hamjaridhika na yeye, Halima wa nini tena!! Yale ma kura yaliyokuwa yanazagaa mtaani yaliyotikiwa vema yanatosha kuwaona nyie ni wanyanganyi wa haki.

Mwacheni Halima hana muda wa kubariki dhurma na unyanyasaji wa binadamu.
 
Yeye anajua hana hasara yoyote mkuu hakuna mwana siasa mwenye uchungu na wewe wote wanajali shibe zao.
Ndiyo maana mko tayari kuua watu mradi mbaki madarakani!
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lisu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa chadema andamaneni kufuata haki zenu
Hujui kuwa maandamano nchi hii hayaruhusiwi?? Au wewe mwenzetu umekuja jana???
 
Ona aibu japo kidogo.
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…