Intelligence Justice
JF-Expert Member
- Oct 23, 2020
- 3,840
- 4,414
Mkuu,His opinion just differs from yours. It is definitely not a case of being ‘mentally lamed’
The fox is too ruthless, aggressive and puppet but coward behind legal technicality
Mkuu,His opinion just differs from yours. It is definitely not a case of being ‘mentally lamed’
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.
Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.
Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)
Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.
View attachment 1633684
Kwan miaka yote hawakuwepo Bungeni? Mbona this time mnaonekana kama mnawajali?Halima mdee ingieni bungeni muibadirishe hii CDM ya mitandaoni tumeichoka
Amen[emoji1545][emoji1545]Mungu mbariki Tundu Lissu
Ulimsubiri wewe na nani?Rais Magufuli hana genge lolote. Ni kiongozi tulimsubiri kwa muda mrefu.
Atimae Mungu amejibu maombi yetu.Huna lolote
Lisu aje nyumbani ajimwbafy afe, wewe uko hapa mlamba viatu vya magufuli unaishi, hypocrite !Tundu Lissu arudi nyumbani ndio aanze kujimwambafy Watanzania siyo wajinga!
Wanaapa huku Mkuu Tazama TBC LiveHuu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
Wewe hujielewagi. Aliposema nchi inyimwe misaada ulitembea uchi humu kwa vigelegele, sasa hivi amebadili kauli unapiga vigelele. Sio ajabu hata akisema akuchukulie mkeo utashangiliaYuko sahihi kabisa.
😄😄 amekuwa kama CHIRIKURaia wa ubeligiji haishiwagi matamko kila siku
Udikteta wa Lissu umeshindwa rasmiWanaapa huku Mkuu Tazama TBC Live
Mayanga construction mme mwenza..kaa kujifariji na vipesa vidogo unavyodunduliza..wao wanachota mabilioni kupitia Chattle airport na daraja la Busisi na miradi kibaoRais Magufuli hana genge lolote. Ni kiongozi tulimsubiri kwa muda mrefu.