Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.

View attachment 1633684
Mkuu,

Mtaarifu Tundu Antipas Lissu huko Tanzania wabunge wa viti maalumu wamesharipoti bungeni na kuapa mbele ya spika na chama hakiwezi kuwafukuza maana hao ndio injini ya Chadema.

Amshauri arudi haraka Tanzania aende kuongeza nguvu kupambana na kudhibiti usaliti ndani ya chama.

Kuna vichwa vinne hapo vina maamuzi magumu na kiongozi yeyote ndani ya chama akishupaza shingo kuwatweza wanaushawishi kuwakataa viongozi hao akiwemo Lissu kama ataendelea na msimamo wake binafsi kuwazuia.

1. Halima James Mdee
2. Esther Bulaya
3. Esther Matiko
4. Nusrat

Na Katibu mkuu JJ Mnyika na makamu mwenyekiti TAL Mughwai wakijifanya wajuaji watafutwa wao kwenye chama

Survival of the party is first priority as opposed to personal activism without beneficial objective.

Shortly, Maalim Seif will subscribe the name for the first VP nomination to crackdown the standoff advanced by ZZK
 
Leo ninasema hapa: vikwazo vyovyote vile ambavyo havitaifanya hii serikali ikose misaada na haki ya kukopa fedha kwenye benki za nje kamwe havitabadilisha chochote.

Hizo hatua zisipochukuliwa nchi hii tusahau kuona uchaguzi wowote ukifanyika ktk nchi hii.

This country will remain a constitutionally multi party state but a de facto one party state because under the present ruler there will simply be no elections at all.
Your anonymous whinge won't reverse the wind-mill course
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Hili jitu kumbe hata akili halina.Leo anaongea hili kesho lile. Wenzake huku wanaingia bungeni yeye habari hana.
 
Huyo
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.

View attachment 1633684
Huyo hana akiri kwa sasa, Amsterdam amemshikia kila kitu.
Hakika tundu lisu atakuja kufa kifo kibaya kwa kusaliti nchi
Ata laaniwa bibaya.
Yaani yeye analala anawaza nchi ipate matatizo hata mungu atamgeuka na kumuadhibu yeye.
 
MAgufuli atawekewa vikwazo gani vya kiuchumi wakati hafanyi biashara, au na wewe unawaza kwa kutumia makalio?
Kwenye uongozi wa magufuri ni kiongozi gani amewekeza kuho ulaya mpaka wataifishe mali zake?
Na ni lini magufuli alipata hasara ya kutosafiri kwenda huko?
Fikiri kwanza kabla ya kutoa mawazo yako hapa.
Mungu mbariki Tundu Lissu
Changieni kuhisu wanawake kuapa leo.
 
Kweli chadema ina wenyewe... .... Mjomba anatoa vibe lake ubeligiji huku wabunge wanaapishwa....
 
Anawapangia mabeberu nini cha kufanya? Watanufaikaje wakishafanya hivyo au wao wanafanyaga vitu bure bure.
 
Kama kweli CDM imeamua kupeleka wabunge wa viti maalum aelewe ivyo vita ni vya peke yake kwa upande wa chama au ajiunge ACT wazalendo na wenyewe hawapo mbali kuchukua nafasi ya makamu wa kwanza huko Zanzibar.

Soon atajikuta anaonekana kama mwe.... iwapo kweli CDM imepeleka wabunge wa viti maalum.
Ajiunge na act wakati nao ACT wameungana na CCM huko Zanzibar?
 
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.

View attachment 1633684
Wivu mbaya sana. Muambieni chadema wameingia bungeni.
 
Hivi wewe una akili timamu? Unafahamu kilichotokea na kinachoendelea? Ikiwa chama kimeshatowa tamko la kutoitambua serikali iliyo madarakani, itakuwaje tena watowe wabunge katika chama chao waende kufanya kazi na serikali ambayo hawaitambui? huoni conflict yeyote hapo? Hivi inakuingia akilini kuwa mtu unaeamini amekuibia ngombe wako anakualika shuhuli ukale na wewe unakwenda kwa sababu ya mlo tu ingawa unajua kitoweo ni ngombe wako aloibiwa?

Amka wewe!!!!
Sasa wewe ndo huna akili timamu hata kidogo, utarudi kuangalia utopolo ulioandika au utaanza kumshangilia Mbowe kwa kula nyama ya ng'ombe wake aloibiwa? Nyumbu hovyo kabisa.
 
si mmemuweka Mzee wa kufufua misukule bado hamjaridhika na yeye, Halima wa nini tena!! Yale ma kura yaliyokuwa yanazagaa mtaani yaliyotikiwa vema yanatosha kuwaona nyie ni wanyanganyi wa haki.

Mwacheni Halima hana muda wa kubariki dhurma na unyanyasaji wa binadamu.
Hamjielewi nyumbu, halima mdee yuko wapi Sasa? Njaa mbaya maana Hadi Lissu kafata beberu lake ughaibuni!
 
Lissu ametweet na kuitaka jumuia ya kimataifa kumuwekea Magufuli na genge lake vikwazo vya kiuchumi.

Ameomba hao watu wazuiwe kusafiri na kuingia kwenye nchi za watu (travel ban), assets zao walizoficha nje zitaifishwe na hatua nyinginezo kali zichukuliwe kwa hao waliokiuka haki za binadamu.

Atleast hili ni bora zaidi ya zile wishes za wengi mwanzoni waliotamani kuona NCHI inanyimwa misaada ambapo wangeumia masikini wengi zaidi kuliko tabaka la watawala (Magufuli, Kabudi, Mahera et al)

Kama ni kibano, bora kiwe targeted kwa baadhi ya watu tu.

View attachment 1633684
Huyu mpuuzi bado mnahangaika naye,eti mtoa maada anasema sasa hivi afadhali kwa kuwa jpm atapigwa travel bann,utasubiri sana,mwambieni huyo lissu arudi aunge Juhudi za mheshimiwa rais,hivi huyu bwana ana cheo gani huko EU hadi awe anatoa matamko ya kijinga hivi?
I hate #lissu
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Nafikiri Lissu anadhani Magufuli ni mwanasiasa wa dizaini zao. Maana kwa hawa wanasiasa wa dizaini za Lissu kuwa rais bila kuwa na asset nje ya nchi au kusafiri nje ya nchi (hasa Ulaya na Marekani) unakuwa hujawa rais sawasawa.
 
Jumuiya ya kimataifa haiwezi kuiwekea Tanzania vikwazo vya kiuchumi kirahisi rahisi hivi...Wazungu wanatuhitaji sana kuliko sisi tunavyo wahitaji.
 
Back
Top Bottom