Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake


Na sisi wapigakura tunavyo vikwazo vyetu: A life ban on Lissu to become president of the United Republic of Tanzania and a life ban on Maalim Seif to become president of Zanzibar. Ngoja tuone ni vikwazo vipi vinatekelezeka!
 
Wakati Lissu anaandika huu utumbo kina Halima Mdee na Esther Bulaya wanaapa bungeni Dodoma.

Angetulia tu na kukubaliana na uhalisia wa maisha. Kuliko kutumia nguvu kama ile ya kuupaka rangi upepo.
 
Hivi hakuna adhabu ya bakora siku hizi? Natamani kale ka-Polepole katandikwe stick za kutosha.
 
Jiwe na vibaraka wake wote , wanyimwe Arv , wawekewe vikwazo na nchi pia kwani misaada ya nini wakati hii ni dona kantri ya Jiwe ya dark ages .
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
Wanaapa huku Mkuu Tazama TBC Live
 
Yuko sahihi kabisa.
Wewe hujielewagi. Aliposema nchi inyimwe misaada ulitembea uchi humu kwa vigelegele, sasa hivi amebadili kauli unapiga vigelele. Sio ajabu hata akisema akuchukulie mkeo utashangilia
 
Rais Magufuli hana genge lolote. Ni kiongozi tulimsubiri kwa muda mrefu.
Mayanga construction mme mwenza..kaa kujifariji na vipesa vidogo unavyodunduliza..wao wanachota mabilioni kupitia Chattle airport na daraja la Busisi na miradi kibao
 
Leo ninasema hapa: vikwazo vyovyote vile ambavyo havitaifanya hii serikali ikose misaada na haki ya kukopa fedha kwenye benki za nje kamwe havitabadilisha chochote.

Hizo hatua zisipochukuliwa nchi hii tusahau kuona uchaguzi wowote ukifanyika ktk nchi hii.

This country will remain a constitutionally multi party state but a de facto one party state because under the present ruler there will simply be no elections at all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…