Lissu: Tunaitaka Jumuia ya Kimataifa kuwawekea vikwazo vya kiuchumi Magufuli na genge lake

Sasa wewe ndo huna akili timamu hata kidogo, utarudi kuangalia utopolo ulioandika au utaanza kumshangilia Mbowe kwa kula nyama ya ng'ombe wake aloibiwa? Nyumbu hovyo kabisa.
Punguza kutumia madawa ya kulevya wewe! Fungua macho na uone kinachotendeka mbele ya uso wako.
 
Lissu anaenda kupotea kisiasa.Hajui majungu ya CCM.Kuapishwa kwa Halima Mdee na wenzake ni mwanzo wa Chadema mpya.
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
mpinge na huyu
 
... somehow na sio kuiwekea Tanzania vikwazo. By the way, Magufuli ambaye tangu awe Rais hajawahi kukanyaga nje ya Afrika na huenda asifanye hivyo maisha yake yote hivyo vikwazo vitakuwa na athari gani kwake kama kweli vikiwekwa?
Magufuli ana mali gani za kuzuia huko nje? Labda kama mtemi Chenge na Lowasa walihusika na michakato ya uchaguzi ndio watakuwa na wasiwasi.
 
Huu udikteta uchwara wa Mbowe na Lissu wa kuzuia wabunge wa viti maalum kisa wao wameshindwa lazima upingwe na kila mtu
Wanawake wa CHADEMA andamaneni kufuata haki zenu
Mwambie kabula wa kebys andamane kwanza. Maana alikuwa anafuatwa na mkubwa wako pale mabibo hostel huku anasoma
 
Rejea kauli yako hii.Bado misaada mnapata?Kwa kiwango gani?
 
huyo afande anayetuangalia kma namjua vile..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…